Wimbo uupendao kuliko zote

Jocasta

JF-Expert Member
Aug 28, 2014
474
595
Nyimbo hutunza historia mbalimbali;taja wimbo ambao ukiusikia unakukumbusha kitu flani.wangu ni;kuku kapanda baiskel wa mr nice,
 
Would you be wa Shaggy na Bryan Thomson
Nakumbuka matukio ya ajabu sana kila nikiusikia huu wimbo
 
Raha ya tunda unipe nikupe, mapenzi hayataki karaha najua unanipenda mimi mwenzio ninasikia rahaaa" DUH, HUU WIMBO NAUPENDA SANA NA SIFAHAM NI NANI KAUIMBA. ANAEJUA ANIAMBIEEE
 
Back
Top Bottom