Wimbo uupendao kuliko zote

Raha ya tunda unipe nikupe, mapenzi hayataki karaha najua unanipenda mimi mwenzio ninasikia rahaaa" DUH, HUU WIMBO NAUPENDA SANA NA SIFAHAM NI NANI KAUIMBA. ANAEJUA ANIAMBIEEE
Wanaitwa hot galz ft dully sykes
 
Hakuna wimbo niupendao kama Pacha wangu by Rich mavoko, kule Congo naupenda Kibuisa Mpimpa wake Werasson Ngiama. Marekani kule naupenda Sweetest girl by Wyclif Jean.
 
Mungu ibarikiiiii, hiyo ndo nyimbo ikiekwa club hakushikiki
 
Nyimbo moja ni ngumu aisee ! Mimi nikisikiliza albums hizi huwa nakumbuka mbali mno..
Jagwa Music vol 1-7
Wanyamwezi family chini ya baba J RIP
Hisani gari kubwa
Tumaini
Topaz
Miami
Na nyimbo yoyote ya mnanda kuanzia 2002 kushuka chini.
Nalog off
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom