elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,760
mpoto ananata na bit.
Ktk i'm not afraid pia eminem kapiga mikele.
pole mkuu,ulipiga point 49 nini?kitu cha mulugo
Mkuu matusi ni ishara ya kuishiwa cha kuandika kama alivyo fanya Roma baada ya kukosa cha kuandika akaandika matusi."...nina msimamo kama mugabe kwenye mambo yakis**..."
huyu ny*ko anajua, daaaaah!!!
"Aliyepata ziro form 4 mnamsukumia VETA,
mnaamini umeme wa magari unahitaji MAZEZETA?"
roma mkatoliki huyu jamaa ni fundi wa mistari...
Hajawahi kuboronga..KKK
/kazi ya kichwa sio kufugia nywele.R.O.M.A kichwa mkuusiwezi kuwa na bifu na uyo mtoto mdogo mkomao ,,nyimbo zenyewe hawezi kutengeneza,,alibahatisha hatakaa atoke tena...kama nilivyosema wakati anatoa wimbo 2030 kuwa utafeli na kweli ulifeli na huu kkk pia utafeli..
/kazi ya kichwa sio kufugia nywele.R.O.M.A kichwa mkuu
Nyimbo za Roma ukiziondoa chorus,uwezi kujua ipi ndio ipi,anaimba yale yale kila siku..hawezi 'one n two' so kuchana hawezi
Roma anachosha!!!!Hana ladha mpya!Ujumbe lazima uje katika ladha tofauti.Hilo halipo kwa Roma!
Sawa sawa.roma hana jipya..muziki hawezi analazimisha,bahati ni mara moja ilishapita .
Robot katk ubora wwkeroma hana jipya..muziki hawezi analazimisha,bahati ni mara moja ilishapita .