Wimbo mpya wa R.O.M.A,-2014

siwezi kuwa na bifu na uyo mtoto mdogo mkomao ,,nyimbo zenyewe hawezi kutengeneza,,alibahatisha hatakaa atoke tena...kama nilivyosema wakati anatoa wimbo 2030 kuwa utafeli na kweli ulifeli na huu kkk pia utafeli..
nakuunga mkono huyu jamaa nilikubali nyimbo yake moja ile ya kwanza tu lkn tangu hapo naona anavyoviimba ni vilevile tu.hata hii bado hajanishawishi kabisa.mi Huyu simkubali ukilinganisha name fid q.
 
Hakika huyu jamaa anaimba taarifa ya habari na kila siku ana rudia kilele hadi ana boa.

Hana jipya tena na sikutegemea kama angerudia makosa.

Sikutegemea ataishiwa hadi aanze kutukana kwakweli kachoka kufikiri na amebaki kuvizia taarifa ya habari.

Kwakweli si mchukii Roma lakini mmm hapana hana jipya na amechuja kabisa.
 
nakuunga mkono huyu jamaa nilikubali nyimbo yake moja ile ya kwanza tu lkn tangu hapo naona anavyoviimba ni vilevile tu.hata hii bado hajanishawishi kabisa.mi Huyu simkubali ukilinganisha name fid q.

Hawezi kuflow...aandiki utunzi... anakusanya matukio kisha yanakuwa wimbo...anachowapata waBongo ni wapenda matukio "wadaku"..... Fid Q kama ulivyomtaja ni zaidi ya uyo mkomao roma mara mia tisa elfu....afadhali Fid ukimsikiliza unaweza kusafiri kidogo ndani ya mashairi yake,Roma ukishamsikiliza unakereka... anachokifanya anakijua yeye msikiite political hiphop.
 
Roma mkatoliki hawezi pata shoo kwasababu nyimbo zake ni za kupigania haki za wenye harakati kwa hiyo sioni shida wewe kumkataa maana ujumbe wake ni mwiba mpaka kwa rais mwenyewe

Mbona Fid q na prof jay wanaimba nyimbo za kupigania haki afande sele pia ila nyimbo zao zinaeleweka wanagusia jamii yoyote ile sio huyo muimba taarabu bila kuwataja watu kwenye nyimbo basi hana cha kuimba ndio maana singo zake anazitoa baada ya kukusanya matukio ya mwaka mzima.
 
Yani R.O.M.A wanamshinda hadi na akina YoungKiller Msodoki kwa vina. Ye huwa anajiimbia tu mradi keshapata matukio ya kuimba kila mwaka sidhani hata kama anajua kufree style alafu anajiita mwana HipHop.
 
achana na uyo dogo,,,eti roma anapigania haki,anapigania haki ipi? au haki ya nani? ebu wawe specific...tatizo bongo mtu akishakuwa mkomao basi wanamuona mgumu au mwanaharakati kasumba mbovu sana hii.
 
Aisee..
Umefanya kama kuiba maneno yangu kichwani,nikimaanisha nakubaliana na wewe kaka!
Acha wanaofuata majina,mdundo wamponde,inahitaji akili ya ziada kumuelewa Roma,namuheshimu sana,ANAJUA SANA KUPITA HAO WANAOJIITA CONSCIOUS EMCEES
 
Daah!
Nani yuko conscious kama R.O.M.A Tanzania hii?
Msanii gani?

kwanza kabisa roma hayuko conscious kabisa...mc conscious ni yule anayetoa ujumbe,,roma atoi ujumbe anafanya mahubiri....kukujibu,wasanii wengi tu wapo conscious hapa bongo mfano ni One the incredible, Sugu,Dogo Hashim, Jay moe, Prof Jay
 
Yani R.O.M.A wanamshinda hadi na akina YoungKiller Msodoki kwa vina. Ye huwa anajiimbia tu mradi keshapata matukio ya kuimba kila mwaka sidhani hata kama anajua kufree style alafu anajiita mwana HipHop.

na wewe kusanya matukio uende ukarekodi!
Tatizo la mitz ni kujua kila kitu,fanya wewe kama unaweza
 
kwanza kabisa roma hayuko conscious kabisa...mc conscious ni yule anayetoa ujumbe,,roma atoi ujumbe anafanya mahubiri....kukujibu,wasanii wengi tu wapo conscious hapa bongo mfano ni One the incredible, Sugu,Dogo Hashim, Jay moe, Prof Jay

weka singo yako tuone,usijifanye unajua!acha uboya
 
flow wewe kaka tuone,mitz mipumbav sana
 
kwani yeye kawambia kuwa anataka show za nje....kwani kila msanii bongo lzm apige international showz...mmmh?
 
Muwe mnatoaga na source mnapochukuaga
Na ww ulibahatisha nini
 
Tatizo binafsi yako hujitambui,sembuse kumtambua R.O.M.A?

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Ndugu upeo wako bado mchanga sana,habari ya R.O.M.A. Achana nayo,imekuzidi sana uelewa.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…