britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,964
- 45,740
Mzee baba nguza Viking na mwanae papi nguza wameachia track moya ya injili
Mzee baba nguza Viking na mwanae papi nguza wameachia track moya ya injili
Binadamu hamna jema.Mungu aliwaachilia huru kwa mkono wa mh.Magufuli,ninyi mkaendelea kuuhukumu muujiza wa Mungu,wengine hamkutaka warudi kwenye furaha yao,mlitaka waishi na hatia milele,acha wamtukuze Mungu...Nadhami wengi mmeisikia kazi yao mpya , ukiusikiliza huo wimbo upo kihuzuni huzuni as if bado wana matatizo sijui nani aliwaelekeza au washauri kuandika wimbo huo
Sisi waumini wa kikristo tuna amini kipindi cha mateso huzuni utawara ila kipindi cha ufufuo furaha utawala mfano kipindi hiki cha kwaresma mpaka mateso ya yesu huwa wanyenyekevu tunabudu nk, ila siku ya ufufuo pasaka tunafurahi
Sasa hawa wazee tulitegemea rumba moja matata sana ili kumtukuza mungu kwa mema aliyowafanyia matokeo yake wao wanatuliza tena ili hali tushasahau machungu
Huu ni mda wa kusifu tu piga rumba turuke tucheze siyo kujiliza liza ovyo
Kuna aliyewatuma wakalawiti na kubaka?Binadamu hamna jema.Mungu aliwaachilia huru kwa mkono wa mh.Magufuli,ninyi mkaendelea kuuhukumu muujiza wa Mungu,wengine hamkutaka warudi kwenye furaha yao,mlitaka waishi na hatia milele,acha wamtukuze Mungu...
Hahahaha kama mapumbu eti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaaan nmecheka sana,kwamba yakikaa kati unanbana,ukiyaweka mbele unanchoresha[emoji23][emoji23]ukiyaweka nyuma unantenga hahahahaha jaman dah!BINADAMU hatuna wema kama MAPUMBU,,, yakikaa kati UNANIBANA,,, ukiyaweka mbele UNANICHORESHA,,, ukiyaweka nyuma UNANITENGA,,,, sasa hao watu wafanyaje? Wangeanza na RHUMBA mngesema badala ya kumshukuru MUNGU mmesahau shida ZOTE,, sasa wanapiga nyimbo za KUMSIFU MUNGU na kushukuru mnawasema,,, Hakika BINADAMU hatuna wema
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hivi una nini we mpwa wake nanliu?gharama za utunzi wa madhairi na studio umewalipia mkuu ...au ndio nyinyi mpo kwaajili ykukosoa tu kila zuri na baya
hahaaa muone[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hivi una nini we mpwa wake nanliu?