Wimbo mpya wa Papi kocha - Injili

Wimbo mpya wa Papi kocha - Injili

Hahahaha kama mapumbu eti yaaan nmecheka sana,kwamba yakikaa kati unanbana,ukiyaweka mbele unanchoreshaukiyaweka nyuma unantenga hahahahaha jaman dah!
huna adabu ..hahaaa TUHESHIMU SISI NI BABA ZAKO
 
Yaani wa jamaa hamna kitu, unapanga nan aubudu au asifu.
 
Nadhami wengi mmeisikia kazi yao mpya , ukiusikiliza huo wimbo upo kihuzuni huzuni as if bado wana matatizo sijui nani aliwaelekeza au washauri kuandika wimbo huo

Sisi waumini wa kikristo tuna amini kipindi cha mateso huzuni utawara ila kipindi cha ufufuo furaha utawala mfano kipindi hiki cha kwaresma mpaka mateso ya yesu huwa wanyenyekevu tunabudu nk, ila siku ya ufufuo pasaka tunafurahi

Sasa hawa wazee tulitegemea rumba moja matata sana ili kumtukuza mungu kwa mema aliyowafanyia matokeo yake wao wanatuliza tena ili hali tushasahau machungu

Huu ni mda wa kusifu tu piga rumba turuke tucheze siyo kujiliza liza ovyo
Una tatizo la neno HUTAWALA NA UTAWALA.umeyatumia maneno hayo ndivyo sivyo
 
Wanatakiwa wakae mbali na watoto mita mia tano.
 
Aisee kiukwel mkongomani aachwe tuu kwenye ulimwengu wa muzik,..ndomana tunahis hawa wasanii weng from kigoma ni wakongomani,na ukiangalia wasanii weng wa bongo origin ni frm kongo.
Aisee huyu jamaa ni balaa hii nyimbo
 
Penye nyekundu ni "ni huu wimbo"

Haya usikilizaji mwema maana kuna mwingine naye kasema "umemtoa machozi"
 
Wimbo mwepesi sana angetuliza mawazo na aombe ushauri kwa wataalamu wa kupangilia matukia na video, kwa muda waliokaa gerezani industry ya muziki imebadilika sana. Waneweza kutoa kitu bora zaidi. Huo wimbo hautadumu hata miezi3
 
Mzee baba nguza Viking na mwanae papi nguza wameachia track moya ya injili

Kwa jinsi hisia zao zilivyo na kule walipotoka pamoja na ngoma ilivyo, ni sawa. Sio mbaya.

Ila sijaelewa wale watu aliokuwa anawaangalia [HASHTAG]#Pino[/HASHTAG] then wakawa wanamfuata nilijua wanaenda kwenye nyumba ya Ibada Inge-make sense sana.

Director hapa amechemsha kidogo, then naona Mzee Nguza ametokea kwa pembeni huku akaunganika na hawa jamaa wengine wakati alitakiwa awe ameshatangulia wangemkuta huko Ibadani.

Hisia zinaongea. Kazi sio mbaya.
 
Utimilifu wa kazi yoyote ya sanaa ni hadhira kuipokea kwa namna/mtazamo/hisia tofauti tofauti . Hapo tunasema ujumbe wa kazi hiyo umegota mahali pake.

Napenda muziki wao sana.
 
BINADAMU hatuna wema kama MAPUMBU,,, yakikaa kati UNANIBANA,,, ukiyaweka mbele UNANICHORESHA,,, ukiyaweka nyuma UNANITENGA,,,, sasa hao watu wafanyaje? Wangeanza na RHUMBA mngesema badala ya kumshukuru MUNGU mmesahau shida ZOTE,, sasa wanapiga nyimbo za KUMSIFU MUNGU na kushukuru mnawasema,,, Hakika BINADAMU hatuna wema
Ebwanaeeeee,...kwamba bnadam hatuna wema kama mapumbu.....hahahahahaah.watu nuksi jaman kwa maneno.daaah
 
Wimbo mwepesi sana angetuliza mawazo na aombe ushauri kwa wataalamu wa kupangilia matukia na video, kwa muda waliokaa gerezani industry ya muziki imebadilika sana. Waneweza kutoa kitu bora zaidi. Huo wimbo hautadumu hata miezi3
Hii watoto wa mjin tunaita Ngenga,..yaan wee jamaa una ngenga kinoma noma
 
Kwa jinsi hisia zao zilivyo na kule walipotoka pamoja na ngoma ilivyo, ni sawa. Sio mbaya.

Ila sijaelewa wale watu aliokuwa anawaangalia [HASHTAG]#Pino[/HASHTAG] then wakawa wanamfuata nilijua wanaenda kwenye nyumba ya Ibada Inge-make sense sana.

Director hapa amechemsha kidogo, then naona Mzee Nguza ametokea kwa pembeni huku akaunganika na hawa jamaa wengine wakati alitakiwa awe ameshatangulia wangemkuta huko Ibadani.

Hisia zinaongea. Kazi sio mbaya.
Hyo ni script yako mjomba,...hata mi nna yangu,tukisema tufate kila mtu anayake hapa...hyo nyimbo na video hazina kasoro hata1
 
Washiriki wote nasema ngoma imetulia ala, sauti, mixing, harmonization na video ya kiwango cha juu. Wasanii hii ni shule ya muziki THT.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom