Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,520
- 2,059
Utapoteza Mb zakoNgoja tukaitazame!
Siku zote ukweli mchungu ugeuka kupondaHuonagi aibu kuanzisha nyuzi za hivi za kuponda na kusifia wanawake (wenzio?)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huonagi aibu kuanzisha nyuzi za hivi za kuponda na kusifia wanawake (wenzio?)
Mimi sio mbeya Ni wa kigomaWe mwanamke mbeya balaa!
Next level music unde CEO Rayvanny mzee wa digitalNLM ndo lebo gani..?
NLM ndo lebo gani..?
Sasa kwani hata wewe ukisema WCB tutakataa.
Endelea kukaza fuvu [emoji23][emoji23][emoji23]Ni lebo ya mchungaji mzimbabwe anayeishi marekani ambae anamfadhili jahprazah na ameweka nusu ya uwekezaji ambapo imeanzishwa kwa mgongo wa rayvany lakini vanyboy ni msimamizi tu pale na mgao unakwenda wcb na kwa huyo paster mzimbabwe
dogo inno una vituko 🤣 🤣 🤣Sasa kwani hata wewe ukisema WCB tutakataa.
Sheria namba 3 ya WCB inasema hakuna member au fana wa WCB anatakiwa kufagilia kitu nje ya WCB kwa hiyo ukimuona jua huyo Ni UTOPOLO kaamua kuwafariji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji125]
Mimi sio innocent ni kigoma independentdogo inno una vituko [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mashahiri kwenu hapa Ni hit song tuBora hata huo mashahiri yake unaweza kusikiliza ukiwa na watoto...leo nimepishana na watoto wanatoka shule wanaimba eti "kwenye zipu kuna kirungu usikamate utawaita wazungu baikoko"
hahahah hii wadanganye Waha wenzako.Mimi sio innocent ni kigoma independent