Ingia wasafi.comMwenye nayo afanye kutupia hapa.
Ni mzuri wimbo, Tiwa Savage ni mapepe sana ila kwenye muziki huwa hakoseiNgoja tuupe muda huu wimbo huenda nikauelewa,
ila kwasasa nadhani umeimbwa chini ya kiwango,
vilevile producer ameboronga sana kwenye masuala ya beat,
Yaani bora ile beat ya Harmonize(niambie) ni nzuri kuliko hii...
Anyway hayo ni maoni yangu tu,
wacha tujipe muda
I miss you naijua, sio exclusive masikioni mwangu, na beat yake ni kali na ina upekee kuliko hii Fire.. Ngoja tuone videos na tuzipe muda,Khaaa! Mkuu umesikiliza Mara moja tu tayari ushaanza kutoa kasoro!
Duuuuu
Basi kasikilize I miss u
Siwezi kupinga, ila mimi naongelea uwezo wa diamond pamoja na production nzima ya wimbo, producer amefanya wimbo kikawaida sana,Ni mzuri wimbo, Tiwa Savage ni mapepe sana ila kwenye muziki huwa hakosei
Video nahisi inaweza kuubost huu wimbo,I miss you sio ngeni kiivyo, Fire ipo poa + promo
Huo I miss you ni wimbo wa kitambo sana, uliwahi kuvuja mwaka mmoja uliopita ..Kumbe kuna wimbo nchini Tanzania unaitwa I miss You
Ngoja nimalizie kusikiliza Wild thought na Loud pack
Afu nitafikiria kuzitafuta hizo nyimbo za chibu.
Hv K.O hajatoa ngoma nyingine toka atoe ONE TIME ft MagzFIRE