Wimbo Mpya: Bonta - Maktaba

Wimbo Mpya: Bonta - Maktaba

elibery

Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
9
Reaction score
2
Hivi huyu jamaa anakichwa gani? huwa anadondosha ngoma za akili sana, hii ngoma MAKTABA inanifanya nimkubari kwamba ni msomi kweli.

Last edited by a moderator:
Weka link tuipate hiyo ngoma
N.B ngoma ni wimbo wazee wenzangu
 
huu uzi ungeupeleka kwenye jukwaa la celebritie....
 
Bonta mkali..halafu kumbe ni daktari yule...
 
Bonta yupo anga nyingine kabisa na namkubali zaidi na professional anayoifanyia kazi sasa hivi.
 
bonta ni conscious emcee.... tukianza na mti wenye matunda.... maktaba...... walaumiwa.... watu buu.... zinahamasisha vijana kuamka....kusoma....kufanya mambo ya maendeleo...kuwakumbuka wazazi na kuacha anasa.... VIVA BONTA...... nilitamani kuziweka hapa nyimbo zake lakini natumia simu sasa itakua ngumu.
 
Uyu jamaa nimesoma nae mzumbe tulikua tunakaa nae milambo hostel the man wala hana makuu nauwez jua kama ni mtu maarufu the way anavyo jiweka atafika mbali he is very dertemined man
 
Uyu jamaa nimesoma nae mzumbe tulikua tunakaa nae milambo hostel the man wala hana makuu nauwez jua kama ni mtu maarufu the way anavyo jiweka atafika mbali he is very dertemined man

Mimi nimeshakutana naye kiwanja kimoja sikumtambua kama ni yeye. Katika maongezi mengi sana ya kazi zetu ndo mshikaji wangu mmoja akanitumbalisha huyu ndo bonta,nilistaajabu sana ila nikampa pongezi.
 
kama pesa ni kahaba,elim ni makitaba
mimi ni graduator wa maisha siyo graduator wa darasa
inaweza kuwa laini lakini isiwe rahisi na inaweza kuwa rahisi lakini isiwe laini
wanakuzunguka ili uiname utobolewe
 
Uyu jamaa nimesoma nae mzumbe tulikua tunakaa nae milambo hostel the man wala hana makuu nauwez jua kama ni mtu maarufu the way anavyo jiweka atafika mbali he is very dertemined man

ivi mzumbe wanafundisha udaktari siku hizi? au ni mzumbe sekondari? kiukweli jamaa yuko vema
 
Back
Top Bottom