Yaani samaki mzima aliye chini kabisa ya Ndio anawacheka samaki wabovu walio juu ya ndoo.Ameniboa kiasi kwamba sikugundua kuwa hata neno lenyewe hajui kuliandika. kilaza kweli huyu asante [TAG]Maserati[/TAG]
CC [TAG]Kibovu[/tag] kweli wewe ni kiazi
Asikumalizie usingizi [TAG] Kibovu [/TAG] bado kitoto cha shule. we mwenyewe umeona hatakuandika hakijui.Yaani samaki mzima aliye chini kabisa ya Ndio anawacheka samaki wabovu walio juu ya ndoo.
Kiasi aliyemo kwenye gunia la viazi huyo. Mr.gentromen
Ndugu wanajamvi kutokana kuwa na wimbi kubwa la wanawake viazi wanaume siku hizi wamekuwa ndo wanahemea nyanya sokoni, wanapika, wanasafisha nyumba, wanaosha vyombo nk.
Ndugu zangu wanaume tuweni magentromen inasikitisha Sana dume zima unaosha vyombo mkeo yupo Instagram.
Suluhisho la tatizo hili wanaume tuwe magentromen usipende kucheka cheka na mke wako without reason
Am done wakuchukua achukue
"....Ndugu zangu wanaume tuweni magentromen"
Mkuu kiumeni kuna Gentlemen sasa hao gentromen ni wa wapi ??
Acha uchochezi kwenye familia za watu, waache watu waishi wapendavyo wao sio utakavyo wewe.
Atakuwa mkurya huyu, aliletwa auze mayai sasa kajua kusoma lkn kuandika bado hajajua"....Ndugu zangu wanaume tuweni magentromen"
Mkuu kiumeni kuna Gentlemen sasa hao gentromen ni wa wapi ??
Alikuwa anamaanisha magentlemen nafikiriMagentromen ndiyo nini Mkuu? Hebu nifumbue macho.
Duuuh,..amekosea nadhaniAtakuwa mkurya huyu, aliletwa auze mayai sasa kajua kusoma lkn kuandika bado hajajua
Ha ha ha ha.Mapenzi yetu yanakuhusu nini??? Mkuu.
Hahaha Sasa Mama p nisiwe nakuja ?Ha ha ha ha.
Vile unanisaidiaga kufua nepi za mtoto,
Kupikaa. Atuache na mahaba yetu.
Baba p hizi nyuzi usiwe unakuja zinafundisha tabia mbaya