kama niwewe umebananishwa omba ushauri usilete upimbi.Ndugu wanajamvi kutokana kuwa na wimbi kubwa la wanawake viazi wanaume siku hizi wamekuwa ndo wanahemea nyanya sokoni, wanapika, wanasafisha nyumba, wanaosha vyombo nk.
Ndugu zangu wanaume tuweni magentromen inasikitisha Sana dume zima unaosha vyombo mkeo yupo Instagram.
Suluhisho la tatizo hili wanaume tuwe magentromen usipende kucheka cheka na mke wako without reason
Am done wakuchukua achukue
Hujui hata maana ya kuwa gentleman. Kiazi/kilaza namba moja ni weweNdugu wanajamvi kutokana kuwa na wimbi kubwa la wanawake viazi wanaume siku hizi wamekuwa ndo wanahemea nyanya sokoni, wanapika, wanasafisha nyumba, wanaosha vyombo nk.
Ndugu zangu wanaume tuweni magentromen inasikitisha Sana dume zima unaosha vyombo mkeo yupo Instagram.
Suluhisho la tatizo hili wanaume tuwe magentromen usipende kucheka cheka na mke wako without reason
Am done wakuchukua achukue
Usiwaze mkuu Mimi najua labda ni neno jipya ndio maana...ila kama unamaanisha gentlemen sawa...Mkuuuu mbona unajali vitu vidogo
There is nothing sexier than a dude who can help his woman, cook, wash etc. in the house.Kama ww ni gentleman na unaosha vyombo your pathetic
Ameniboa kiasi kwamba sikugundua kuwa hata neno lenyewe hajui kuliandika. kilaza kweli huyu asante [TAG]Maserati[/TAG]Kamusi tafadhali,gentromen Ndio nini?