Wimbi la wanaume Wambea linazidi kuongezeka

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
11,252
Reaction score
24,089
Sijui ni Mitandao ya kijamii ndo imekuwa chanzo....wanaume wanazidi kuwa Wambea kuliko hata wanawake

Siku hizi ukienda kwenye misiba ama mikusanyiko huwezi koswa kundi la wanaume sita ama tisa Hivi wanapiga umbea.

Miaka ya nyuma ilikuwa haipo Kila kundi utakuta wanacheza karata ama BAO wengine washabiki wa mpira ni Simba na yanga Wana siasa ni ccm na chadema huwezi kuta masengenyo Wala umbeo.

Kwa Sasa ni tofauti wanaume wengi wamekuwa wapenda upembea kuliko michezo ama siasa. Ajabu sana.

Hata hizo radio za kibongo zimejaa umbea tupu Tena watangazaji wa Kiume ndo waongozaji wa umbea kuliko hata wanawake wale tulizoea ni kawaida Yao.

NB😛icha hii haihusiani na chochote kile kwenye Uzi huu Ila unaruhusiwa kuihusisha ukitaka Kwa matakwa Yako binafsi lakini si ya mleta Uzi huu.
FB_IMG_1764308976455.jpg
 
View attachment 3539168

nimependa picha uliyoambatisha
 
Huu ulioandikwa humu ndiyo umbea na siyo huo umbea wa misibani, tafakari chukua hatua.
 
Back
Top Bottom