Mizinga hadi ndotoni ipo, itakua online??Wanatafuta mademu wa kizungu,huku mtaani wanaogopa vizinga.
Nadhani hawajui kumwaga sera. Mtandaoni anaweza akawa anaandikawa. Hata hivyo roles zimebadilika, wanawake wamekuwa aggressive kwenye masuala ya mahusiano.Wasalaam wana JF,
Sikuhizi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kiume kutafuta wapenzi mitandaoni.
Je sababu haswa ni ipi?
Je ni kutojiamini au mitandaoni ndo kuna wapenzi wakweli?
Mkuu,kesi ya kubaka inakunyemelea. Unamvizia mtu katumwa dukani? Hawachelewi kukushtaki kuwa ulitaka kumbaka. Unakumbuka kisa cha yule Dada alietoka Tanga kwenda Arusha na kupatwa na janga la...... na polisi?Hakuna mwanaume anaeweza tafuta mwanamke mtandaoni aiseeee....
Haya mambo nayaona yanafanywa na wavulana, na kama wapo wanaume wa hivyo basi watakua ni wa Dar.
Huku Ushirombo bado tunatumia baria yenye msisitizo wa alama ya mshale kuchoma kumoyo.
Au wakati mwingine inapo lazimu tuna vizia mtoto anapo tumwa dukani, sokoni au alitoka kisimani
Hata Kulekwetu tunatumia njia hiyo.Hakuna mwanaume anaeweza tafuta mwanamke mtandaoni aiseeee....
Haya mambo nayaona yanafanywa na wavulana, na kama wapo wanaume wa hivyo basi watakua ni wa Dar.
Huku Ushirombo bado tunatumia baria yenye msisitizo wa alama ya mshale kuchoma kumoyo.
Au wakati mwingine inapo lazimu tuna vizia mtoto anapo tumwa dukani, sokoni au alitoka kisimani
Nimecheka sana baba watotoEve bwana, Kwani tukifahamiana mtandaoni nitamtongozea humo?
Mara ya mwisho kukutana live na msichana na kumtongoza was in 2007, baada ya hapo imekuwa online tu.
Hahaahaaaa.....Mkuu,kesi ya kubaka inakunyemelea. Unamvizia mtu katumwa dukani? Hawachelewi kukushtaki kuwa ulitaka kumbaka. Unakumbuka kisa cha yule Dada alietoka Tanga kwenda Arusha na kupatwa na janga la...... na polisi?
Hahaha!Hiyo kiboko aisee!Hahaahaaaa.....
Huku kwetu bado tunatumia mitindo ya kizamani aiseeee...
Kwanza hata wao mabinti wanajua hii mambo za kukimbizana na kuviziana ndipo unaweza kuzoza.
Ma babez wa huku kwetu hawajui hata kutumia hizi sim zenu za kisasa za kufuta (smart phone)
Umeona ehhh...Hata Kulekwetu tunatumia njia hiyo.

Hii 2016 banaa na si mwaka 47 waacheni watu wajirushe kivyao vyao. Kipenda roho.....
Ulitaka kusemaje dogo?Kwani sehemu spesheli ya kutafuta mademu