Teh...kupiga ni mabatini...Ha ha ha online user eeeh, na kupiga ni online?
Hahahahaaaa, ukikuta mtu anilaishambulia mitandao ilishamtokea puani. Ivi kuzaliwa kijijini ni zambi eh! Watu waliozaliwa kijijini leo ndo wajanja wa mjini. Mfano mzuri angalia kwa mweshimiwa jpm ni kijiji origin, leo anaongoza taifa, bado wapo watu wengi wamefanya mkubwa ya kukumbukwa na dunia, greater percentage of people paving their way to a good economy ni kutoka kijijini. Tuheshimuni sisi tuliotoka kijijini, tumekuja mjini kuwaonyesha kaziHuo ni ushambaaaa!!!!!! Asilimia kubwa ni wale waliokulia vijijini n walioibukia mitandao ukubwani!!!!
Du! Ili nalo ni jibu
Nkuulize swali, hii mitandao imeanza tangu lini? Kwa watanzania hii mitandao hata haijafikisha miaka kumi, sasa nakushangaa ww uliyekulia mjini uliipata wap?Huo ni ushambaaaa!!!!!! Asilimia kubwa ni wale waliokulia vijijini n walioibukia mitandao ukubwani!!!!
Wanatafuta mademu wa kizungu,huku mtaani wanaogopa vizinga.Madomo zege kila kona, utadhani wamekula super glue....
wasalaam wana jf
sikuizi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kiume kutafuta wapenzi mitandaoni.
Je sababu haswa ni ipi?
Je ni kutojiamini au mitandaoni ndo kuna wapenzi wakweli?
kwaiyo we mtandao asili yako?Huo ni ushambaaaa!!!!!! Asilimia kubwa ni wale waliokulia vijijini n walioibukia mitandao ukubwani!!!!
wasalaam wana jf
sikuizi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kiume kutafuta wapenzi mitandaoni.
Je sababu haswa ni ipi?
Je ni kutojiamini au mitandaoni ndo kuna wapenzi wakweli?
We yamekukuta af ushamba gani watu tumezaliwa mjini ymekulia mjini tunachezea pc tangu utotoni na tunatongoz Mtandaoni vie vile na tunagegda.....acha ujinga wakupotosha watu.... Hakuna ushamba ni utandawazi wa hali ya juuHuo ni ushambaaaa!!!!!! Asilimia kubwa ni wale waliokulia vijijini n walioibukia mitandao ukubwani!!!!
Mapenzi ya mtandaoni yana uwazi na maelewano zaidi maana ni rahisi sana kuelewana na mtu ambae ulishajua kuwa anahitaji nini katika mapenzi na kile asichokihitaji. Kama mwanamke anataka pesa,atakwambia makavu laivu kuwa shida yake ni pesa na feelings mpelekee future baby mama wako na kama ametendwa na anataka kukutumia kwa muda kisha akubwage akipona maumivu,napo anakueleza tu na wewe unatia miguu ukiwa unajua kuwa kilichokupeleka katika huo uhusiano ni kipi.
Ni tofauti na ile hali ya kumfukuzia mtu kwa uongo mwingi na ahadi za kumjengea kitu mawinguni, au kujifanya umekufa umeoza wakati una shida zingine tu. Na kuna wengine huwa wanafikia mpaka kupata kesi za kumfuata mtu asietaka n.k kwenye mtandao mnaambizana makavu laivu na mpakka mnakutana kila mmoja anakuwa anajua kabisa kiwa ana nafasi ipi katika uhusiano husika.
Thanks totoo!Umefafanua vizuri sana,
Big Up.