welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,229
- 4,834
- Thread starter
- #41
Na kwa mchaga akipelekwa police na mke hiyo ndoa itajakufa tu!🤣🤣🤣
Nakumbuka bit nilichimbwa pale police nami nikawakazia walikua wapole
yaani dawati kazi yao ni kuwaona wanaume ndiyo wakorofi ili wapige hela na mikwara yao!

