Wimbi la ongezeko la wanawake wanaokula sana chanzo nini?

Wimbi la ongezeko la wanawake wanaokula sana chanzo nini?

Wadau kadhaa nimewasikia kwa masikio yangu ya nyama wakiwalalamikia mababy sweetie mom wao kula kupita kiasi.

Mmoja yuko hapa Mbeya majuzi kanidokeza kapata pisi alishapanga kuiweka ndani mwaka ujao. Lakini kwa tabia ya kufukia kama dudumizi au paka shume jamaa yangu anataka kuleta hoja ya extra time maana saivi ni kama matokeo ni 2-0 sasa kasema hii haiwezekani lazima muda wa kuchunguzana uongezwe, ima faima yani kwa maneno machache na yaliyonyooka ni kama jamaa anaekea kuvuta handbrake kwenye haya mauhusiano.

Sasa cha kushangaza watu hawa wanaolalamimiwa kung'ata msosi kuliko hata mkuu funzadume unakuta hawafanyi kazi yoyote ngumu inayohitaji nishati nyingi mwilini.

Sasa wakuu hili tatizo linatokea wapi maana halikuwepo na je lina uhusiano gani na shida nyingine inayolalamikiwa ya wanawake haohao ya kuwa na vitambi mchomoko na mbonyeo?
Dawa mbona ndogo sana washe

Ampe mimba tu [emoji1787]

Chakula atakisikia tu
 
Kumnunulia nini? Pacha wako au? Yaani mother wako atembee kwa mguu,mjinga atembelee IST! Kakusaidia nini labda maishani!
Af badae utasikia anapiga simu,eti wanaume wote mbwa!! Oh mara mama yako mmbeya,simpendi basi tu. Oh maswala ya kila dakika mama yako anaumwa siyahitaji tena humu ndani. Ohh hao ndugu zako hawajui hapa kwangu?
Hajui hata maji yalisombwaje,ila masharti ndo balaa. Mnawasapot wenyewe kwa kiburi na dhalau.
Ahsante kwa muongozo mkuu

Inaonekana una experience na haya mambo, maisha ya ndoa sio mchezo.
 
Ikifikia mahali ukaanza kusimanaga mtu eti anakula sana na ukaona unatumia gharama kumlisha basi mkuu rudisha mpira kwa kipa mechi ishakua ngumu Mourinho kapaki bus.
Lakini anachotaka yeye si msambwanda wa buku jelo?
Haina shida,atakuwa anapewa kulingana na matumizi aliyoacha. Wanaomlisha akashiba,watapata mda wa kutosha. Na yeye atakuwa anabeep anatolewa. Full stop
 
Ukiona mtu anakula sana wakati mwanzo alikuwa kawaida basi ujue kuwa huyo mtu amepata depression, stress au anxiety
Hao ni wagonjwa wasaidiwe hawana furaha na kupunguza machungu wanajikuta wanafakamia tu
Sio wao mkuu wasaidieni ni ugonjwa
 
Kuna mmoja alkua ana lazimisha sana meeting na mki kutana jua ata kula balaa utazani hajawahi kula, women siku hizi hawana aibu kweny kula [emoji28]
 
Ina maana kazi ngumu ya kutafuta riziki hamuioni?ukitoka vikoba njaa inakua Kali sana
 
Mkuu hili suala ni mtambuka na inategea na maeneo,mfano uchagani madem hawali kabisa ila wanawake wakinyakyusa Mungu amewabariki,wanafukia sio mchezo,nimesoma mbeya nawafahamu mwanzo mwenga.
 
Back
Top Bottom