Wimbi la ongezeko la wanawake wanaokula sana chanzo nini?

Wimbi la ongezeko la wanawake wanaokula sana chanzo nini?

Wadau kadhaa nimewasikia kwa masikio yangu ya nyama wakiwalalamikia mababy sweetie mom wao kula kupita kiasi.

Mmoja yuko hapa Mbeya majuzi kanidokeza kapata pisi alishapanga kuiweka ndani mwaka ujao. Lakini kwa tabia ya kufukia kama dudumizi au paka shume jamaa yangu anataka kuleta hoja ya extra time maana saivi ni kama matokeo ni 2-0 sasa kasema hii haiwezekani lazima muda wa kuchunguzana uongezwe, ima faima yani kwa maneno machache na yaliyonyooka ni kama jamaa anaekea kuvuta handbrake kwenye haya mauhusiano.

Sasa cha kushangaza watu hawa wanaolalamimiwa kung'ata msosi kuliko hata mkuu funzadume unakuta hawafanyi kazi yoyote ngumu inayohitaji nishati nyingi mwilini.

Sasa wakuu hili tatizo linatokea wapi maana halikuwepo na je lina uhusiano gani na shida nyingine inayolalamikiwa ya wanawake haohao ya kuwa na vitambi mchomoko na mbonyeo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]duh
 
Mi nimeanza kula Milo miwili aisee,mbeya hii chakula kingi afu bei rahisi usipojiangalia waweza haribika mwili
 
Wanawake wengi wana vitambi usipime. Unakuta wako huko sijui Iplas na t-shirt hata hawapendezi, matumbo ndio yametangulia mbele. Loh. Tujitahidi kula kwa kiasi, mtu hata avae nini hapendezi
 
kwa raha zako mwenyewe au sio[emoji23]
stress free!
Tubebe mimba
Tuzae kwa kupush au op yote sio mchezo
Tunyonyeshe
Mtupige miti hadi siku tunaenda labour
Hatulali vizuri mkitigegeda plus watoto wadogo drama.zao
Hapo mnaitaji tushirikiane kiuchumi so tunafanya kazi
Bado mnataka tule mlo mmoja kwa siku jamani??
 
Ikifikia mahali ukaanza kusimanaga mtu eti anakula sana na ukaona unatumia gharama kumlisha basi mkuu rudisha mpira kwa kipa mechi ishakua ngumu Mourinho kapaki bus.
Unajua siku hizi pia wapo watoto wa kiume. Kuna mada nyingine huwezi mkuta nazo mwanaume. Ukiona mtu kajitoa mhanga kwamba kakununulia chakula! Mara ohh anakula sana! Maraa ohhh simuwezi? Khah! Ukute kajifanya anazo,kamtoa out,kampeleka sehemu,kufika yeye ana elfu 10 mfukoni. Si alijua anampeleka gengeni?! Kufika kumbe bili ya
 
Tubebe mimba
Tuzae kwa kupush au op yote sio mchezo
Tunyonyeshe
Mtupige miti hadi siku tunaenda labour
Hatulali vizuri mkitigegeda plus watoto wadogo drama.zao
Hapo mnaitaji tushirikiane kiuchumi so tunafanya kazi
Bado mnataka tule mlo mmoja kwa siku jamani??
Teh teh teh jamaniiii. Si mumuombe poooo huyo Mungu wenu na nyie mue mnaipiga sasa. Kumbe ule mchezo siyo raha eh
 
Back
Top Bottom