Wimbi la ongezeko la wanawake wanaokula sana chanzo nini?

Wadau kadhaa nimewasikia kwa masikio yangu ya nyama wakiwalalamikia mababy sweetie mom wao kula kupita kiasi.

Mmoja yuko hapa Mbeya majuzi kanidokeza kapata pisi alishapanga kuiweka ndani mwaka ujao. Lakini kwa tabia ya kufukia kama dudumizi au paka shume jamaa yangu anataka kuleta hoja ya extra time maana saivi ni kama matokeo ni 2-0 sasa kasema hii haiwezekani lazima muda wa kuchunguzana uongezwe, ima faima yani kwa maneno machache na yaliyonyooka ni kama jamaa anaekea kuvuta handbrake kwenye haya mauhusiano.

Sasa cha kushangaza watu hawa wanaolalamimiwa kung'ata msosi kuliko hata mkuu funzadume unakuta hawafanyi kazi yoyote ngumu inayohitaji nishati nyingi mwilini.

Sasa wakuu hili tatizo linatokea wapi maana halikuwepo na je lina uhusiano gani na shida nyingine inayolalamikiwa ya wanawake haohao ya kuwa na vitambi mchomoko na mbonyeo?
Inaonekan mkuu mifuko yako ya suruali haina kitu, maana kula ni jambo la kawaida sana kwenye maisha yetu ya kila siku na mungu aliweka baraka zake kwenye chakula sasa unapo kaa na kuhoji swala hilo dogo tu una mkosea hata mungu wenyewe alie toa riziki unazo pata.
 
Mkuu, kwa hili la kupinga wanawake kupenda kula uko wrong sana. Watu wote yaani jinsia zote bila kujalisha rika, inatakiwa tule na tunywe kwelikweli. Kula na kunywa kwa sana ni dawa na huduma ya kwanza, inatuepusha na magonjwa nyemelezi kwakuwa mashine ya mwili saa zote inakuwa inafanya kazi inavyotakiwa. Faida nyingine ya kula na kunywa sana ni kupona haraka tunapoumwa.

Kwa mimi, mwanamke anayependa kula nampenda sana. Miaka ya zamani nilikuwa mtu wa kuuza sura sana nikiingia migahawani, utakuta mbele za watu naagiza sahani 3,5 n.k, japo ni kitendo cha ajabu kwa wengine lakini ilikuwa inanisadia kupata mademu, nimepata sana mademu kwa staili hii ya kuuza sura kwa kula. Kuna siku kama kawaida yangu naingia kwenye mgahawa mmojawapo kuuza sura, nikamkuta demu mkali kazipanga sahani 6 peke yake juu ya meza, nafikiri alipata habari kuna kaka anakujaga kuuza sura. Ebhana ile siku yule demu alinifunika, nilichekwa sana siku ile.
Jina lako linasadifu yale yote uliyoyaandika.
 
Ila kuna pisi zinakula aisee
Pisi inakula kitimoto kilo ugali na ndizi
Sijui kuku yan pisi inakula unajiuliza hii ikikaa chooni kuhara inatoa mzigo kiasi gani.
Aise mademu kuleni kiasi
Kula sana sio ustaarabu kwa mwanamke
Unakuta pisi imenenepa kitandani inahema tu na manyama limekula kama fisi
***** zenu
 
Jaza vinywaji kwenye friji,akiwa na hamu anakunywa,hiyo utamzuia kula sana.Anyway muache ale sana,ila msisitize afanye na mazoezi pia,kuepuka kua shapeless.
 
Unasema kuna ongezeko la wanawake kula sana, takwimu unazo?

Kipi kinakuaminisha kwamba zamani walikua hawali sana?

Mada inazungumzia kula sana asije mtu akazungumzia kuhusu unene, muktadha ueleweke.
Mdogo wangu chuoni unasoma kozi gani? Uwezo wako wa kufanya argument ni mkubwa sana. Umewataadharisha kabisa wakae kwenye frame work ya mjadala. 😅

Kudos.
 
Wadau kadhaa nimewasikia kwa masikio yangu ya nyama wakiwalalamikia mababy sweetie mom wao kula kupita kiasi.

Mmoja yuko hapa Mbeya majuzi kanidokeza kapata pisi alishapanga kuiweka ndani mwaka ujao. Lakini kwa tabia ya kufukia kama dudumizi au paka shume jamaa yangu anataka kuleta hoja ya extra time maana saivi ni kama matokeo ni 2-0 sasa kasema hii haiwezekani lazima muda wa kuchunguzana uongezwe, ima faima yani kwa maneno machache na yaliyonyooka ni kama jamaa anaekea kuvuta handbrake kwenye haya mauhusiano.

Sasa cha kushangaza watu hawa wanaolalamimiwa kung'ata msosi kuliko hata mkuu funzadume unakuta hawafanyi kazi yoyote ngumu inayohitaji nishati nyingi mwilini.

Sasa wakuu hili tatizo linatokea wapi maana halikuwepo na je lina uhusiano gani na shida nyingine inayolalamikiwa ya wanawake haohao ya kuwa na vitambi mchomoko na mbonyeo?
Kazi si wanapiga? Sasa ulitaka ale kidogo halafu kazi apige sana, huko mbeya wanawake wanapiga kazi na msosi wanapeleka
 
Wadau kadhaa nimewasikia kwa masikio yangu ya nyama wakiwalalamikia mababy sweetie mom wao kula kupita kiasi.

Mmoja yuko hapa Mbeya majuzi kanidokeza kapata pisi alishapanga kuiweka ndani mwaka ujao. Lakini kwa tabia ya kufukia kama dudumizi au paka shume jamaa yangu anataka kuleta hoja ya extra time maana saivi ni kama matokeo ni 2-0 sasa kasema hii haiwezekani lazima muda wa kuchunguzana uongezwe, ima faima yani kwa maneno machache na yaliyonyooka ni kama jamaa anaekea kuvuta handbrake kwenye haya mauhusiano.

Sasa cha kushangaza watu hawa wanaolalamimiwa kung'ata msosi kuliko hata mkuu funzadume unakuta hawafanyi kazi yoyote ngumu inayohitaji nishati nyingi mwilini.

Sasa wakuu hili tatizo linatokea wapi maana halikuwepo na je lina uhusiano gani na shida nyingine inayolalamikiwa ya wanawake haohao ya kuwa na vitambi mchomoko na mbonyeo?
mi nadhani ni muhimu kula vyakutosha, ukipata fursa ya kula.
Kula haswa, tena kula kwelikweli kama chakula kipo....
Kuchorana kwenye kupakia msosi na matonge, sio kitu kizuri na si ungwana hata kidogo...

wanawake ni binadamu,
wana kazi nyingi sana, za kiroho na kimwili, za kuwaombea na kulea familia na wachumba zao.
wanachoka sana, wanavumilia sana na hawakati tamaa...

Wana kiu, wanahitaji kunywa, wana njaa wanahitaji kula chakula kizuri na cha kutosha, wanahitaji kupumzika mahala pazuri, mahala tuliiivuu....
Tuwape fursa, tuwanenee vema kwa jamii...
 
FB_IMG_1700329666669.jpg
 
Back
Top Bottom