Kula sana kama unafanya kazi ngumu haina shida, lakini mtu unashinda home au kukaa ofisini sio afya.Daah vijana wa siku hizi mnanisikitisha mno.
Mbona sisi kipindi chetu hatukua hivi??
Nini kimewapata lakini??
wenye vitambi utawajua tu 🤣🤣Extra cost ya kumiliki mke ni pamoja na chakula!
Kula ni mala mbili kwa siku tena kwa kiasi, mbali na hapo ni dhambiMkuu, kwa hili la kupinga wanawake kupenda kula uko wrong sana. Watu wote yaani jinsia zote bila kujalisha rika, inatakiwa tule na tunywe kwelikweli. Kula na kunywa kwa sana ni dawa na huduma ya kwanza, inatuepusha na magonjwa nyemelezi kwakuwa mashine ya mwili saa zote inakuwa inafanya kazi inavyotakiwa. Faida nyingine ya kula na kunywa sana ni kupona haraka tunapoumwa.
Kwa mimi, mwanamke anayependa kula nampenda sana. Miaka ya zamani nilikuwa mtu wa kuuza sura sana nikiingia migahawani, utakuta mbele za watu naagiza sahani 3,5 n.k, japo ni kitendo cha ajabu kwa wengine lakini ilikuwa inanisadia kupata mademu, nimepata sana mademu kwa staili hii ya kuuza sura kwa kula. Kuna siku kama kawaida yangu naingia kwenye mgahawa mmojawapo kuuza sura, nikamkuta demu mkali kazipanga sahani 6 peke yake juu ya meza, nafikiri alipata habari kuna kaka anakujaga kuuza sura. Ebhana ile siku yule demu alinifunika, nilichekwa sana siku ile.
Usipompenda wewe atapendwa tu kuna mtu anampenda vile alivyo.Kuelezana ukweli ndiyo kusimangana!!?? Kula kupita kiasi kuna madhara ya kiafya na kunaharibu muonekano na mvuto, mwanamke anakuwa na kiriba tumbo mamyama uzembe mwishowe penzi linafutika.
Siyo kula sana,hiyo inaitwa kufakamia misosi...Wadau kadhaa nimewasikia kwa masikio yangu ya nyama wakiwalalamikia mababy sweetie mom wao kula kupita kiasi.
Mmoja yuko hapa Mbeya majuzi kanidokeza kapata pisi alishapanga kuiweka ndani mwaka ujao. Lakini kwa tabia ya kufukia kama dudumizi au paka shume jamaa yangu anataka kuleta hoja ya extra time maana saivi ni kama matokeo ni 2-0 sasa kasema hii haiwezekani lazima muda wa kuchunguzana uongezwe, ima faima yani kwa maneno machache na yaliyonyooka ni kama jamaa anaekea kuvuta handbrake kwenye haya mauhusiano.
Sasa cha kushangaza watu hawa wanaolalamimiwa kung'ata msosi kuliko hata mkuu funzadume unakuta hawafanyi kazi yoyote ngumu inayohitaji nishati nyingi mwilini.
Sasa wakuu hili tatizo linatokea wapi maana halikuwepo na je lina uhusiano gani na shida nyingine inayolalamikiwa ya wanawake haohao ya kuwa na vitambi mchomoko na mbonyeo?
kila mtu ashinde mechi zakeTunaanza kupimana kwa kula kweli? Kumbe ndia ni ngumu hivo😀😀, Yaani chakula kikufanye umuache mtu, huo ni uchoyo sasa, mwache mtu ale tena wanaokula sana wanajua kupika ujue
Ila mechi za kula siyo kabisa, tutafute hela tuwe na vyakula vingi home watu wale hadi wavimbiwe😀kila mtu ashinde mechi zake
Kwa taarifa yako, wenye chakula cha kutosha huwa hawafakamii vyakula, wanakula kwa kiasi. Tajiri halisi hawe na mavitambi maana wanakula kwa kiasi na mlo kamili.Ila mechi za kula siyo kabisa, tutafute hela tuwe na vyakula vingi home watu wale hadi wavimbiwe😀
Sasa kama mtu anakula sana solution Ni kumtafutia chakula kingi ale hadi aacheKwa taarifa yako, wenye chakula cha kutosha huwa hawafakamii vyakula, wanakula kwa kiasi. Tajiri halisi hawe na mavitambi maana wanakula kwa kiasi na mlo kamili.
Ukiona mtu anakula sana ana tatizo. Inawezekana msosi ulikuwa shida wakati anakuaSasa kama mtu anakula sana solution Ni kumtafutia chakula kingi ale hadi aache
[emoji23][emoji23][emoji23]wanakula Kwa sababu wana njaa ,,,vidonda vya tumbo au kitambi utachagua kimoja!Wadau kadhaa nimewasikia kwa masikio yangu ya nyama wakiwalalamikia mababy sweetie mom wao kula kupita kiasi.
Mmoja yuko hapa Mbeya majuzi kanidokeza kapata pisi alishapanga kuiweka ndani mwaka ujao. Lakini kwa tabia ya kufukia kama dudumizi au paka shume jamaa yangu anataka kuleta hoja ya extra time maana saivi ni kama matokeo ni 2-0 sasa kasema hii haiwezekani lazima muda wa kuchunguzana uongezwe, ima faima yani kwa maneno machache na yaliyonyooka ni kama jamaa anaekea kuvuta handbrake kwenye haya mauhusiano.
Sasa cha kushangaza watu hawa wanaolalamimiwa kung'ata msosi kuliko hata mkuu funzadume unakuta hawafanyi kazi yoyote ngumu inayohitaji nishati nyingi mwilini.
Sasa wakuu hili tatizo linatokea wapi maana halikuwepo na je lina uhusiano gani na shida nyingine inayolalamikiwa ya wanawake haohao ya kuwa na vitambi mchomoko na mbonyeo?
🤣🤣🤣 DarHizo sahani 3 na 6 ni za kipimo cha mkoa gani....?