Wimbi la Makonda wa kike

Wimbi la Makonda wa kike

sasa wameongezeka kweli. karibu kila daladala nayopanda anakuwepo. ni uaminifu, mabadiliko au kuna jigine?
ni kazi.... kama kuwasongea ugali na kuwafulia!!!!!! wakiuza miili mnalalamika sasa wanafanya kazi halali unalalamika khaaaa
 
Kama ni demu sikiliza...

Kama una swali uliza...

Hata kama sijamaliza a aa sikilizaa...
 
Titizo ni lile lile wanalipenda kusema watu hapa.
Kama Vijana wa kiume wa Mjini mmelala,kazi kuuza sura tuu na kutafuta maisha mepesi,huku mmepiga ngwasuma.

Lazima Madem Jiji wawakimbize,na ndio imefikia hivyo
Uaminifu wa Madada utakula ajira kibao Jijini kwa vijana wa kiume.
Wanawake wakiajiriwa wengi huridhika na wanachopiaka,ila Vijana kabla ya kuajiriwa anafikiria dili,yaani wapi nitamuibia tajiri kwa style yoyote,sasa hii ndio tofauti kubwa
 
Safi Ila warekebishe lugha na uvaaji tumechoka kuona mifungus yao ya ma,,k,ni kutokana na kuvaa kata k,
 
ni kazi.... kama kuwasongea ugali na kuwafulia!!!!!! wakiuza miili mnalalamika sasa wanafanya kazi halali unalalamika khaaaa
Ni kweli. Wengine niliwakuta saiti fulani jana wanabeba zege balaa, sambamba na wanaume. MMoja kibonge si mchezo
 
Mleta mada unaona ajabu?mbona makonda wa like wamekuwepo tokea kitambo
 
Back
Top Bottom