Maisha yamekua magumu, wanaume wakuhudumia wamekua wachache
Wanalea saa ngapi watoto?
Waume zao wakibandua mabeki tatu wasilalamike,maana wanawaachia fursa wenyewe.
Ni upepo tu unapita...dawa yao kuwapiga mimba tu watuachie kazi zetu
wnaume mmeshindwa kuhudumia familia
Hawana Longolongosasa wameongezeka kweli. karibu kila daladala nayopanda anakuwepo. ni uaminifu, mabadiliko au kuna jigine?
Hahhaa hii kali mana naskia wakiwaacha nyumbani wanaibiwa kweli waje zao madereva bora kutoka nae kushinda nae na kurudi nae
Muda si mrefu wanawake watavamia kuendesha boda boda pia. Ni fursa sawa kwa wote.
Muda si mrefu wanawake watavamia kuendesha boda boda pia. Ni fursa sawa kwa wote.
watawapiga sana bao wa kiume aisee
mmh!!Tutake radhi tafadhali