Muda si mrefu wanawake watavamia kuendesha boda boda pia. Ni fursa sawa kwa wote.
hao ni wake wa madereva , madereva wamechoka kuweka makonda wezi kila siku hesabu haifiki wameona dawa ni kuweka wake zao hata wakiiba poa .
Ni upepo tu unapita...dawa yao kuwapiga mimba tu watuachie kazi zetu