Wimbi la Kuhama Vyama Bado Kupita!

Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
906
Naona kuna kundi lingine ambalo limeachwa nyuma kwenye hili wimbi la kuhama. Kuna wale waliotangaza nia wakiwa watumishi wa umma, mawaziri na wanaofanana na hao. Hawa nadhani wameamua kusubiri muda wao uishe halafu nao waamue wanachofanya.

Naona kuna kundi limekuwa kimya ghafla. Na siamini kama watu wa aina ile huwa wanapotea kimya hivyo! Sijui lakini. Hebu tusubiri ubunge na uwaziri uwe eksipayadi rasmi. Nahisi kuna watakaofuata!
 
Mkuu funguka zaidi, makundi gani hayo au ni akina nani?
 
Anaongelea Makundi ya Mawaziri vivuli akina Msigwa,Mnyika ,Tundu Lissu na wengine wamefungwa midomo kabisa tangu Team Lowassa na 4umovement.
 
Kuna wengi, hasa macho yangu yanaangalia zaidi serikalini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom