Wilson Mukama: Public and Private Profile

Mukama mtu safi banaa mnyonge tumnyongee lakini haki yk tumpatie,wabongo kwa kupondaaa,hz point kwenye hy unayoiita profilee umezidiwa hoja aisee very week
 
Your excellency pls I know you will pass here before your final announcement of you good will SECRETARY GENERAL of CCM.Mr Chairman you making a great mistake by appointing this very person,from the latest duty he did during the parliamentary committee meeting in Dar last two week, he presented the financial report as a chairman of one of the public company in which he safeguarded the false report in a manner that every member of that committee was shocked.but final the member manage to send him back with his fake report.My President,here is man now you appoint him in that very big office...No No No.....Tanzania is of full of well braved people,almost 45mil....why he...please make up you mind ......He is not a man to be dea....
 
Ni muhaya kujisifu ni lazima i mean iko kwenye damu labda uongelee kingine
Wacha hiyo, si Wahaya wote wanapenda sifa, tena wengine wala huwajui!!!!!!!!!
Tabia za mtu sio kabila lake ndugu, don't judge or else you will be judged likewise!!!
 
Mukama aliwahi kumponda Keenja kuwa hakufanya lolote la maana alipokuwa m/kiti wa tume ya jiji. Tujiulize jee yeye alifanya lipi alipokuwa mkurugenzi wa jiji baada ya keenja. Anaweza akawa bomu kuliko Makamba, yetu macho😛anda:

Mkama alitoapesa nyingi kwenye kampeni za ccm .Pia ndiye aliyefanikisha wizi wa kula jimbo ya Segerea na kumwezesha mahanga kushinda.kinana alimwezesha Jk kutangazwa mshindi kwa kufanikisha mkakati wa wizi wakula .zakia yeye ndo alitunza pesa za mafisadi,wauza unga,wasafirisha magogo,walizochangia chama kwenye kampeni .sasa hapo nini kinasukwa
 
In this article Mukama anaongea kama City Director. Na ni maoni yake kuhusu jiji la Dar, mfumuko wa Miji (urbanisation) inayotokea na zile changamoto zinazoletwa na urbanisation ambazo ni pamoja na rural-urban migration hususan vijana, Machinga (infromal traders) ambao wengi wao walikua toka South ndo maana phenomena ikaitwa Machinga. Kuhusu hizo Best Practives ...Mifano bora utaipataje bila kufanya study tour hata kama ni ya kwenda Moshi kuona best practice ya usafi wa mazingira?? Nadhani huwezi kumjudge utedaji wake kisaisa kwa kuhoji uitendaji wake kwenye an "unpolitical" sphere.
 
Katika jiji lenye watu zaidi ya milioni 4, Mukama kwa kusudi alimua kuwasingle out vijana toka mikoa ya Kusini...honestly that was was very offensive
 

Nimeiprnda hiyo Chama mbadala. Hakuna kingine kwa manufaa ya Tanganyika yetu kama kuweka chama mbadala katika utawala wa taifa letu. CCM hata wafanyeje, hata wabadilisheje, kimekwishafikia upeo wa kufikiri na hakuna jipya litakalotoka humo. MABADILIKO NDIYO NJIA PEKEE.
 
Hilo la tuhuma za kutoa kauli ya hiyo wakati wa vurugu za Mwembechai sina habari nalo.

ndio maana nasema walau wangetuletea wasifu wake uliokamilika

In this day and age CCM wangeupdate website yao na more details badala ya kuwaachia watu kuset the agenda na speculations

Nilichokiweka ni preliminary critique ya hiyo article yake.
 
Hatutaendelea kama tutakuwa na muungano, kwanza tuuvunje ndo tuangalie maswala nyeti ya kujikomboa, nchi imekua ikipoteza resouces nyingi sana bila tija kwa ajili ya kujadili muungano, maamuzi yamekua magumu kwa sababu ya muungano. Uvunjike kwanza. Hata chadema wakiingia ikulu kutakuwa na mvutano mkubwa sana na zanzibar. Tuuvunje muungano kwanza.
 
Lazaro, hebu shed more light basi ndugu yangu:disapointed:
 
MIIMI kumwona huyo Zakhia ndani ya list TU niko hoi!!


kunani kati ya jk na zakhia!!???
 
Taabu yetu Tz nikung'ang'ania viongozi fulani kama vile hakuna watu wengine wenye uwezo wa kuongoza! Ni kama HAWA WANAOKUWA RYCYCLED waliUMBWA MAALUM KUTUONGOZA HADI WAFE!!!! Tunachohitaji kwa sasa ni kuwakataa hawa MAKAPI tunayoletewa na kushinikiza wapewe nafasi watu wengine WALAU NAO WAJARIBU (kama makapi yanarudi na nyimbo zilezile zlizoleta failures ni afadhali tuwape benefit of doubt wasiojulika na tuone watatupatia nini)
 


Umejitahid ku-quote mengi na mazuri ya Bwana Mkama.Wasi wasi wangu ni uelewa wako mdogo juu ya uwezo na nafasi aliyokuwa nayo Bwana Mkama.Kwa yote nadhani alipaswa kuchangia katika utekelezaji na ni kitu alichokifanya.Kumbuka kuwa hakuna anayesifika katika good reform ya jiji la Dar es Salaam zaidi yake na hicho ndicho kilichompandisha hadi hapo na si Ukada.Tuhuma ama criticisms zako zote zimelenga as if Mkama alikuwa Waziri Mkuu ama Rais wa nchi ambaye anauwezo wa kuinfluence policy at any time.Kuwa Mkurugenzi wa Jiji si sababu ya wewe kufanya miujiza labda ingekuwa Serikali ya Majimbo kama USA.

Hoja zake ni za Msingi,tambua tatizo kubwa la mobility hasa from rural to urban ni hali ngumu ya kimaisha huko vijijini.Hali ikiboreshwa vijiji hugeuka kuwa miji na majiji.Tazama Dar es Salaam miaka ya nyuma(Ukoloni),ilikuwa kama baadhi ya vijiji vilivyopo leo na utambue kuwa hakuna mji unaokuwa bila kuchipukia katika hatua ya kijiji.Mkama was right na mtu mwenye maono ya utaifa mbele kama yeye hatunabudi kumuunga mkono na kuacha itikadi uchwara zenye hoja za majitaka.Nashangaa mazuri una-quote lakini ufafanuzi wako juu ya ulicho-quote ni incapability to judgement.

Nashukuru umekuja na hii hoja hapa,nenda kasome tena vizuri na utambue kuwa mtu anaowafikiria watanzania walioko vijijini na namna ya kuwafanya nao wajisikie kama wewe ulieko Dar ama kwingineko mjini si wa kubezwa hata kidogo.Shule ama Chuo au Supermarket si lazima Mjini kama unavyodhani,vyote vinawezekana vijijini.Kumbuka hakutamka kuwa wasomi ama ambao wanakwenda mijini kwa masomo,wafanyabiashara au watumishi wasiamishiwe mijini ama kukimbilia mijini hasa Dar ila wale wasioridhika na maisha ya shamba yasiyokuwa na muelekeo hasa jembe la mkono na kilimo cha kutegemea mvua tu,na hatimaye kuona unafuu kuwa mjini kama Machinga Kariakoo na kwingineko.Hili ndilo tatizo kubwa.Aidha amekuwa katibu mkuu ama bado ni Mwanachama sasa anapaswa kushauri chama kwa uwazi jinsi ya kutekeleza hayo kitaalam na kusaidia vijana tusichoke na maisha ya vijijini.

Tazama wewe,ukija Dar es Salaa maadam Mungu kakutunuku uwezo wa kifedha kama si shetani kukupa ufisadi wengi wetu upenda kujenga nyumba ata tano Mjini.Hutaki kurudi kijijini na kujenga ama kufungua ata mradi mdogo unaoendana na hali ya uchumi wa kijiji kisa Utalogwa!!!!!!!!!!Sasa elewewa ni sisi wasomi,wafanyabiashara na Wafanyakazi ndio tunaweza kuvibadilisha hivyo vijiji na kuvifanya sehemu nzuri ya kukalika kwa wazazi wetu na jamii zetu zilizopo huko."Nchi itajengwa na Wananchi wenyewe".

Nashukuru kwa kuileta mada hii,umenifungua kichwa kutambua ni jinsi gani wasomi tunavyopotosha jamii kwa itikadi za vyama ama ushabiki uliotukuka.Lakini elewa kuwa hakuna kiongozi asiyelaumiwa hasa yule ambaye anajikuta akipendwa na watu hasa katika kipindi cha KAMPENI.Wananchi huwa na matarajio makubwa ambayo yeye kwa tamaa ya madaraka hujifanya kuyabeba hata yanayokuwa nje ya uwezo.Hili ni funzo kwa kikwete na hata atakayekuja.Mkapa hakukubalika sana na watu lakini leo hii tunasema angalau alifanya kitu.Tuwe makini kwa kuwapima hawa viongozi na kuona nini wamekifanikisha sio kwa wizi ila kwa bidii zao kuanzia nyumbani(familia) hadi nje kwa maana ya Watanzania.

Tunasema si vizuri kuingilia maisha ya mtu binafsi lakini historia mbaya ama nzuri za viongozi wetu,nyingi zinaakisi tabia zao za kuzaliwa hasa suala la UBINAFSI.Wengi wanaoanguka utakuta hata tabia zao za kuzaliwa kwa maana ya nyumbani au utotoni zinachangia.Ukiwa mchochezi,mwenyetamaa,mwizi,ubinafsi,chuki ama chochote kisichokubalika na Mungu katika maisha ya utoto ama kifamilia,sidhani kuwa miujiza ya kupata uongozi itakubadili na kuwa mtakatifu.Kwa hili ni wachache ambao hutokewa na hekima hizo.

Tazama kunamgombea mmoja wa U-Rais,pamoja na kuwa mbunge na kiongozi wa taasisi mbalimbali zisizo kuwa za kiserikali wala kisiasa.Mtu huyu na imani huko kote hakuwa anajitolea ila kuna kipato alichokuwa akipata japo kinaweza kuwa kidogo ama kikubwa.Sote tunafahamu Bungeni kulivyo patamu kimapato.Mtu huyu katika mbio za U-rais kama unavyojua siasa,vyombo vya habari vikawahi kijijini kwa Mzee kuona anamaono gani kwa Mwanaye.Inasikitisha,inatia huruma na haistaili kusimuliwa HIVI kweli Mzee pamoja na kuteseka kwake juu yako bado anaishi na Mbuzi ndani?nyumba duni,chakula duni,mavazi duni eti kisa yuko kijijini.Ni AIBU kubwa sana kwa huyu ambaye tunaamini anakipato cha kutosha hakumtendea heli Mzazi wake ili aendelee kumbariki!je ataweza kwa Watanzania kila mmoja kuisha nyumba bora?

Wasalaaaaaaaaaaaaaaaaaaam.
 

Ndio, mkuu nakubaliana na wewe viongozi wetu ni makomunisti , inatakiwa vijana waiingie. Ndio maana hadi leo utakuta binadamu wanasema angekuwepo Nyerere, mie huwa sielewi kabisa.
 
waweke watu wanaowataka lakini the facts zinabaki pale kwamba wanapaka rangi nyumba ileile na sio kujenga nyingine.
I expect very little changes ofcourse the so called "cosmetic".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…