Wilson Mukama: Public and Private Profile

Wilson Mkama alishiriki pia kwenye Tume ya Jaji Kisanga, Mkapa alivyowajia juu akakana kuhusika kutengeneza ripoti. Hivyo aliwasaliti wenzake
 

Mkuu kuna dhamira ambayo naanza kuiona hapa. Nilikuwa najiuliza hawa watu wameteuliwa kwa nguvu ya nani? Sawa ni chama, lakini tunaambiwa kwenye chama kuna kundi la akina RA na EL. Anna makinda tuliambiwa kawekwa na akina RA. Huu uteuzi nao nashawishika kusema kuwa ni wa akina RA kabisa. Huyu KM mpya bila kuuma maneno ni mtu wa EL. Sasa kama nape naye ni EL, sijui hawa wengine, ila wamewekwa kumsindikiza EL ikulu 2015
 
MCHIMBA KABURI HUINGIA YEYE JK KASEMA WANACHUKUA MAAMUZI MAGUMU HAYO NDO MAAMUZI MAGUMU YA KUBADILI NGUO BILA KUOGA SIONI JIPYA KATIKA UTEUZI HUO WANAZIDI KUDIDIMIA ZAKIA MEGHJI FROM ALL THE CCM MEMBER KAMA HAO NI CREAM CCM HAINA WATU. POLENI CCM :help:
 
Nasikia baada ya reforms huko CCM huyu mbambaishaji Kikwete anataka kuifumua TISS upya.Thing is,hawa jamaa kwa sasa wanapuuzwa tu.They were used katika sehemu kubwa ya utawala wa kifisadi,now they are abused after being rendered useless!

That's inevitable pattern.
 

Na Slaa mbona naye ametumika kwa ccm?
 
***post deleted**...

Mmeanza kuingilia mambo binafsi ya watu. mkiulizwa mama Kamili na wanae wako wapi? mnasema eti ooh hayo hayaendeni na utendeji, mkiulizwa ilikuwa yule mke wa mtu, ooh hayo hayaendi na utendaji.Mhhhhhh
 
PhD ya kuwalisha watu mkate wa bwana yesu kanisani??????halafu akamsaliti bwana wa mabwana kiaina!!!!!ful mitamaaaa huyu jamaa!!!hi! hi! hi!
 
kwa anaeitakia Tz mema anajua kwa uhakika kuwa ili nchi hii iendelee mbele na kujitoa kwenye lindi la umasikini ililomo, cha kwanza kufanyika ni kuitoa ccm madarakani., ccm kama ilivyo haiwezi kuisaidia hii nchi kupiga hatua yoyote ya maendeleo. kwa wanaoijua ccm, ambayo nayo inajua wazi kuwa haikubaliki tena kwa wananchi bila ya msaada wa dola, wataitazama tena kwa macho ya kebehi., kama mukama, kinana na zakhia ndiyo gamba jipya la kuikomboa ccm, basi mwerevu itabidi atazame la zamani lililotolewa lina tofauti zipi za kimsingi na lilioingia. nadhani haya ni mapenzi ya Mwenyezi Mungu kwa nchi hii kuwa hatimaye hawa jamaa hawana tena pa kutokea wala watu wa kuwasaidia kutoka huko walikojiofikisha. wataishia huko huko huku nchi ikigeuka na kuchukua uelekeo inaostahili kuwamo.
 
PhD ya kuwalisha watu mkate wa bwana yesu kanisani??????halafu akamsaliti bwana wa mabwana kiaina!!!!!ful mitamaaaa huyu jamaa!!!hi! hi! hi!

Punguza Hasira, acha udini na elewa hoja inayoongelewa, wewe Phd yako ni ipi? na inawasaidia vipi WaTZ?, jikomboe kifikra utasaidia kuwakomboa na wengine ndugu.
 
Mukama aliwahi kumponda Keenja kuwa hakufanya lolote la maana alipokuwa m/kiti wa tume ya jiji. Tujiulize jee yeye alifanya lipi alipokuwa mkurugenzi wa jiji baada ya keenja. Anaweza akawa bomu kuliko Makamba, yetu macho😛anda:
 

Hivi niniyi nanyi? mfanyiwe lipi jema? nani mnataka? ethics za serikali zinakataza kufanya mambo ya chama during working ours, nje ya hapo unaruhusiwa sana tu, na cha msingi usilete ushabiki wako wa vyama kazini. soma vizuri ethics za kazi watu mnachanganya sana labda hamjui haki zenu.
Pili, hakuna aliyemsafi in any way, tukiamua kumpima kila mtu asiyefisadi hatumpati hata mmoja, sure telling u tumezidiana tu capacity, hadi huko majumbani kwetu kwenye familia zetu, mtoto akitumwa harudishi chenji, mama hajui mshahara wa baba, ofisini vivocha vya uwongo mwingi? kazi hufanyi ipasavyo, hakuna laiyemsafi bwana, basi tukamtoe mbinguni.
Acheni kuwatishwa watu mizigo nyie msioweza kuigusa hata kwa kidole.
 

Naomba kuuliza hivi CCM ni ya wananchi au wanachama? mbona wasi wanachama wanapiga sana kelele inawahusu?
 
Kwa sasa hakuna mwana ccm yeyote hata akiwa msafi namna gani atakayeweza kuisafisha bila kuia kabisa. Ili mbegu iote lazima kwanza ifukiwe na kisha imee. Ccm ni kama mbegu iliyokomaa sasa inahitaji kuzaliwa upya "i mean it must dissolve anyhow".
 
Matatizo ya watanzania kupoteza matumaini ya maisha katika Nchi yao iliyojaliwa rasilimali za kutosha kutokana na utawala dharimu wa ccm hauwezi kuondolewa na Mukama wala Nappe, swala hapa ni KAIBA mpya na Chama mbadala kitakachoisimamia Katiba hiyo mpya kwa maslahi ya Watanzania walio wengi.
 
Hapa ndipo tunapopata ushahidi usio na shaka yoyote kwamba CCM huwa inabebwa na wakurugenzi wa hizi halmashauri zetu wakati wa uchaguzi, hauitaji degree kulithibitisha hili.
 
Kwetu sisi tunaoichukia sana CCM tunafurahia uteuzi wa watu wasiofaa kuendelea kuongoza chama hiki cha majambazi kinachoelekea kufa. Safi sana!
 
Mlioko Dodoma mtuthibitishie uteuzi huu. Nina mashaka na jina hili la Mukama kwani sio MNEC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…