monoclinic
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 262
- 323
Asante kaka! Nachojua tido iz a man of prestige anapenda sifa na kujiona he knws much kuliko walaji (audience) hapa inawezekana kabisa tatizo liko kwa tido.....
Kanisani katoka?
Ndiyo maana Tido alifukuzwa TBC haaminiki!
anajua kabisa kuwa Jana alitoa tangazo kuwa leo saa 3 asbh watu waone LIVE Azam two
atakuwepo na Slaa
Hata kama Slaa hakutokeza
Je ameshindwa nini haya kutoa feedback kwa umma?
huku akijua kabisa watu wengi huenda walikuwa pembeni ya tv zao
Hata kuwataka radhi watazamaji wao?
ama kutoa sababu iliyokuwa nje ya uwezo wao!
Kwa mbaaliii naona sababu ya yeye kutimuliwa TBC
Kumbe anawatesa anawatesa anawatesa eheeee!!!!!
uzaifu wetu wa tz ni pale tunaposhindwa kujadili hoja kuu na kuanza ku dili mi personal affairs za mtu...
ni rahisi sana kuwavuruga wa tz hasa pale ushabiki na mihemko ya kifikra inapokuwa mbele..
nadhan tujiulize aliyo sema dr ni kweli? au si kweli kwa hoja na ushahidi madhubuti
Kaogopa maswali magumu ya tido.
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.
Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.
Kipindi kiko recorded...Iweje unasema amemkacha?..Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.
Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.
Unaona rafiki unless asingetangaza Jana
Hapo ni sawa
Coz hakuna mtu angemuuliza
coz si akutoa taarifa?
But kwa hili alitoa tangazo
Then amejikausha
It's like anajisemea kimoyo moyo kuwa watazamaji wetu
Si watajiongeza juu kwa juu!
Na kama sio yeye aliyetoa hilo tangazo pia ajitokeze hadharani ili akanushe!