Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

Status
Not open for further replies.
Hahahahah Babu wa Majungu tena Tido angemkaba vilivyo aende Star Tv na TBCCM
 
Kwa mabaya au mazuri wiki hii dr. Ndiyo habari ya mjini. Waulizeni AZAM waeleze yaliotokea.
 
Dr slaa anakula mihogo kwanza subiria subiria
 

Attachments

  • 1441534865713.jpg
    45.8 KB · Views: 457
Mnashangaza sana.
Akiongea hamjibu hoja mnamtukana.
Akinyamaza pia mnamdhihaki.
Mnatakaje???
 
Ndiyo maana Tido alifukuzwa TBC haaminiki!
anajua kabisa kuwa Jana alitoa tangazo kuwa leo saa 3 asbh watu waone LIVE Azam two
atakuwepo na Slaa

Hata kama Slaa hakutokeza
Je ameshindwa nini haya kutoa feedback kwa umma?
huku akijua kabisa watu wengi huenda walikuwa pembeni ya tv zao

Hata kuwataka radhi watazamaji wao?
ama kutoa sababu iliyokuwa nje ya uwezo wao!

Kwa mbaaliii naona sababu ya yeye kutimuliwa TBC
 
Hawa wanasiasa wanatufichaga mengi sana. Wakisalitiana ndo wanaanza kulipuana. Ok Sie watazamaji tu ngoja tuendelee kuwackiliza tu.
 
Posho imeisha wamuongeze. Chezea gharama za kuishi serena.
 

Great thinker
 
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.

Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.

Tatizo watanzania vigeugeu alipoenda kwenye media mnasema, leo mmeanza kuzusha eti kakimbia cmnasema nyie asiende kwenye media imekuwaje tena....
 
atakuwa labda jana alilala club ivyo kaamka ni pombe kichwani ngoja akizimua atakuja msiogope nyi malofa
 
Tido hata kutoa feedback juu kilichopelekea kushindikana kwa hilo zoezi!
 

Attachments

  • 1441523994178.jpg
    42.7 KB · Views: 424
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.

Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.
amechungulia kwenye account yake malipo hayajaingia
 
Kakosa busara....

Raisi ni Lowassa hata mkisikiri usiku kacha!
 

Asante kaka! Nachojua tido iz a man of prestige anapenda sifa na kujiona he knws much kuliko walaji (audience) hapa inawezekana kabisa tatizo liko kwa tido.....
 
Huyu Dr.Slaa anazidi kujishushia heshima kila siku.
WATANZANIA TUNAISUBIRI TANZANIA MPYA CHINI KIPENZI CHA WATANZANIA LOWASA.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…