Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.
Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.
Nasikia kule home kwake li-Mushumbusi limeloweka nguo zake kwenye maji ili asitoke, hivyo mpaka dakika hii tunapogonga keyboard hapa JF babu yuko kwenye taulo.
Huwa anaendaga ila hali mkateSidhani kama anaendaga kanisani huyu...
Ndio hivyo hakikurekodiwa kwasababu huyo mzinifu aliingia mitini
Tido ni TEAM lowassaHabari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.
Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.
Yupo sehemu anapigwa tuition na Kinana jinsi ya kuuharibu ukawa.
Kinana haijui ukawa... Atawezaje kuharibu?
Babu anayekula mihogo huwa ananifurahisha anavyoshika kipaza sauti.
Habari nilizopewa kutoka Azam media ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema ndugu Wilbrod Slaa ameshindwa kufika ndani ya studio za Azam media bila kuwepo kwa taarifa yoyote kutoka kwake.
Kuna jambo lipo nyuma ya pazia. Soon litajulikana.
.
khe! kaamua kuingia mitini? uongo hauna professionalism. pale tu katika star tv ya Dialo aliyemkodi alipoteza network alipobanwa na mwandishi yule kutiririsha waliyokuwa wamepanga pamoja, sembuse Tido atakaetaka ufafanuzi kwa mujibu wa yale aliyoropoka slaa bila kuwa na ushahidi wowote?
at kuwatuhumu maaskofu wa kuluteri na katoliki kuhongwa ni maneno niliyoambiwa na askofu wa kipentekoste... kipentekoste?? Tutaamini vipi kuwa kakuambia? kwa nini wewe ndie upeleke hadharani ktk media usimtake huyo askofu wa kipentekoste apeleke kwenye media? Slaa udokta wako ni wa nini? canon/sheria za kidini? mbona hata hivyo bado una mke wa mtu kama kweli wewe ni dr wa sheria za dini? mashaka kila mahali. hii ni kwa sababu umeipenda uongo kwa kuusaliti ukweli. kwa Tiido ung3jivua nguo kweli na wanaokuratibu kwa sasa wameliona hilo wakakuepusha na aibu kabla.
.
Babu padri kaona maswali ya Tido yatamuumbua Mshumbuzi akampiga beat usiende lasivyo atavunja huo mkono wa pili
Tido anajua kuhoji! Nimemegewa taarifa kuwa zuio la Slaa limetoka kwa Kinana! Kweli!!! Kinana leo amekuwa mtu wa maamuzi juu ya Slaa! Josephine ni shetani!!
Tido ni TEAM lowassa