William Rutto kumbe naye ni wa hovyo hovyo tu

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,242
113,623
Inaripotiwa kuwa nyumba ya mwanae na Uhuru Kenyatta imevamiwa na watu wa usalama huko Karen!

Majuzi iliripotiwa kuwa serikali imemuondolea walinzi mama yake na Uhuru ambaye ni mke wa Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta.

Sikudhani Ruto angefanya mambo kama haya. Nilidhani ni mstaarabu. Kumbe ni wale wale tu.

Wapatapo madaraka wanageuka na kuwa viumbe vya ajabu kabisa.

Ruto anacheza na moto. Anaulamba moto kwa ulimi.

Not good at all.

MARAIS wa Afrika wengi ni Wa HOVYO kama huyu
 
Hajakosea kumtaja.Rekodi za magufuli akiagiza wapinzani wake washugulikiwe zipo.Aliwahi kumuagiza spika awatimue bungeni ili wakitoka nje awashughulikie.
.wapinzani kina nani?

Walikuwa wakipinga jambo lipi? Tuanzie hapo mkuu

Kuna mambo mengine hata wapinzani wakikaa na kutafakari kwa yale huwa wanapinga, mengine hubaki kujiona ni wajinga

Ila hili la bandari, niko upande wao, ije mvua lije jua, mkataba haufai
 
Back
Top Bottom