William Ngeleja afunguka juu ya makanikia

Nimemuelewa Ngereja, suala la Nishati na Madini hapa nchini limevurugwa sana kiasi kwamba limekuwa kama kuku na yai-haijulikani kipi kilitangulia. Inaonekana fursa ya kureview mikataba ya madini kila baada ya miaka 5 haijatumika kabisa. Waziri na Kamishna wa Madini walikuwa wanafanya nini toka 2015 mpaka sasa 2017?

Halafu hii nchi ya ajabu, kuna mambo yaliyo ktk mikataba ya madini ambayo unashangaa kwamba yalifanywa na timu ya watu wanaopaswa kuwa makini kama watu kutoka TRA, BoT, Hazina, Mipango, Kamishna wa Madin na Usalama wa taifa.
 
Du!
Ngeleja kaongea mengi na mjumuisho wake ni kwamba anauzunguka ubuyu...

Ndio..
Moja hataki lawama zitupiwe kipindi chao.

Akubaliani na hoja za upinzani na hapo hapo anataka serikali ianze/kupitia sheria na mikataba ya madini (wakati hicho ndio hoja kuu ya upinzani)

Ajiamini, katawaliwa na woga na hofu, nadhani kuna jambo analijua na anahofu nalo.
Tatizo hakuna anayejiamini ndani ya CCM ................... wameshatiwa woga wengi wao hawana uhakika wa kurudi 2020!!

Especially wale walioimba kale kwaimbo .............. "tuna imani na fulani .............."!!
 
Du!
Ngeleja kaongea mengi na mjumuisho wake ni kwamba anauzunguka ubuyu...

Ndio..
Moja hataki lawama zitupiwe kipindi chao.

Akubaliani na hoja za upinzani na hapo hapo anataka serikali ianze/kupitia sheria na mikataba ya madini (wakati hicho ndio hoja kuu ya upinzani)

Ajiamini, katawaliwa na woga na hofu, nadhani kuna jambo analijua na anahofu nalo.
TMAA ilianzishwa na yeye, kama sikosei. Na jukumu kubwa ilikuwa ni kumshauri waziri. Kwa wimbi la Sasa hicho ni kina kirefu sana kwake kuogelea.
 
Yaani ukisikiliza utadhani haya anayofanya mkuu wa nchi n kupoteza muda wao wameshafanya Kila kitu enzi zao.
Kwa nini haya hakupendekeza akiwa waziri.?
 
Nimemuelewa Ngereja, suala la Nishati na Madini hapa nchini limevurugwa sana kiasi kwamba limekuwa kama kuku na yai-haijulikani kipi kilitangulia. Inaonekana fursa ya kureview mikataba ya madini kila baada ya miaka 5 haijatumika kabisa. Waziri na Kamishna wa Madini walikuwa wanafanya nini toka 2015 mpaka sasa 2017?

Halafu hii nchi ya ajabu, kuna mambo yaliyo ktk mikataba ya madini ambayo unashangaa kwamba yalifanywa na timu ya watu wanaopaswa kuwa makini kama watu kutoka TRA, BoT, Hazina, Mipango, Kamishna wa Madin na Usalama wa taifa.
Mkuu, hakuna cha kuku na yai hapa!!

Kinachofanyika ni SPINNING ili asipatikane wa kutupiwa lawama!! Ndiyo maana kila CCM katika kuchangia lazima anatupia lawama kwa wapinzani na sifa kwa Rais!! Binafsi mpaka sasa sijui Rais anasifiwa kwa lipi .......... mimi nitasifia nikiona outcome ya hatua zitakazochukuliwa!!
 
Kuna kijana alimfukuzisha kazi alikuwa mlanzi wa Ultemate pale J Mall ktk ATM kisa kumwambia akae ktk foleni kilichotoa hapo ni shida na yule kijana alikuwa hamjui. Lakini ndo malipo ya mtu na matendo yake
 
Back
Top Bottom