i.d.i.o.t always will be :bange:
Kimbunga,
..Savimbi na Unita walikuwa wanafuata Ujamaa lakini ule wa Kichina.
..Augustino Neto na MPLA walikuwa wanafuata Ukomunisti na USSR.
..halafu kulikuwa na FNLA ambao walikuwa wanasaidiwa na Mobutu hawa sina kumbukumbu walikuwa wanafuata mrengo gani lakini inawezekana walikuwa wameegemea nchi za magharibi.
..kuna kipindi Tanzania ilikuwa inamsaidia Savimbi kwasababu ya mahusiano yetu na Wachina.
..SAVIMBI aliharibu kila kitu pale alipoamua kushirikiana na MAKABURU wa Afrika Kusini.
..alipochukua uamuzi huo tu, basi nchi zote za Kiafrika zilizokuwa zinam-support zikamtupa mkono.
..kubwa zaidi ni kwamba uhusiano wa Savimbi na makaburu ulikuwa kikwazo cha harakati za uhuru wa maeneo mengine kama Namibia,Zimbabwe,na Afrika Kusini.
..wananchi wa Angola wameumia sana kutokana na mis-calculations alizofanya Savimbi ambazo zilisababisha Angola kuwa uwanja wa mapambano ya "vita baridi" kati ya nchi za magharibi na zile za mashariki.
NB:
..msimamo wa serikali ya Tanzania ni kwamba Jonas Savimbi alikuwa gaidi.
Uko sawa Mkuu, hii ilikuwa ni baada ya 1966 wakati Savimbi aliporudi kutoka China na kukataa ofa ya kujiunga na MPLA na kuamua kuingia msituni pamoja na kundi la UNITA. Tanzania na Zambia walisaidia kumuingizia vifaa vya kivita toka China. Nakumbuka kipindi hicho tulimuona Savimbi kama mpiganaji wa ukweli lakini hali ilikuja kubadilika pale alipoamua kushirikiana na makaburu pamoja na CIA...kuna kipindi Tanzania ilikuwa inamsaidia Savimbi kwasababu ya mahusiano yetu na Wachina.
..SAVIMBI aliharibu kila kitu pale alipoamua kushirikiana na MAKABURU wa Afrika Kusini.
- Mimi sina nguo na wewe umekuja kujivua, sasa wenye akili wafanye nini mkuu? ha1 ha! ha!
ok sasa napumzika kidogo! ha! ha! ha!
William!
-
- Uzuri ni kwamba maneno yangu ya bluu yanajisema wazi kwamba nimeongelea UKOMBOZI as a common factor between Mbowe na Savimbi, FULL STOP! ha! ha! ha!
William!
Uko sawa Mkuu, hii ilikuwa ni baada ya 1966 wakati Savimbi aliporudi kutoka China na kukataa ofa ya kujiunga na MPLA na kuamua kuingia msituni pamoja na kundi la UNITA. Tanzania na Zambia walisaidia kumuingizia vifaa vya kivita toka China. Nakumbuka kipindi hicho tulimuona Savimbi kama mpiganaji wa ukweli lakini hali ilikuja kubadilika pale alipoamua kushirikiana na makaburu pamoja na CIA.
Le Mutu liko wapiz?
William ameshasoma sheria na haki za kiongozi wa upinzani?
Binafsi nimeshindwa kuelewa kwa nini ameona SAVIMBI yuko level moja na Castro au Mao? Huyu mtoto ana elimu gani?
Wakati Cuba walishawahi kupeleka jeshi nchini Angola kuwasaidia MPLA kuwapiga waasi wa UNITA iliyokuwa chini ya Savimbi
Leo bichwa mavi linakuja linatuambia Savimbi alikuwa mkombozi.
Dah...sasa kwa nini Le Kutuz usigombee ubunge dodoma mjini uwe kama mayor De Belasio wa NYC?