William Malecela: ''Jonas Savimbi was a hero''

Someni historia ya Angola, Jonas Savimbi na E. Dos Santos. Usisome vitabu ya somo la historia vilivyohaririwa na j. K. Nyerere na CCM yake. J. Savimbi na E Dos Santos hawana tofauti sana na Oginga Odinga na J. Kenyata wa Kenya. Yaani waliopigania uhuru ni wengine na walioongoza nchi ni wengine.
 
 
Huyo ni wa kumuacha kama alivyo.Najua Wengi wenu mnafahamu mzee Job Lusinde na John Malecela ni ndugu.Hivyobasi Livingstone na William nao ni ndugu. Kinachowatofautisha ni kuwa Willy kasoma na kutembea ila Kibajaji hana shule na hajatembea.
Kusoma na kutembea kumemsaidia nini huyo William kama hawezi kumpanua mitazamo ya Castro, Che Guevara, etc. na ya Jonas Savimbi. Ni ignoramus tu.
 
 
 

Don Draper unajiaibisha mkuu!!

kwa taarifa yako Jonas Savimbi ni mkombozi , mengine ya baadaye ni siasa!!!

sasa wewe kusoma siasa za Tanzania za uwongo ndio unajua??

soma wikipedia utamjua ni nani!! mpaka leo UNITA ina nguvu!! kwa sababu ya legacy yake

grow up

halafu huwezi ukamwanzishia mwanaume mwenzio thread in ishara ya kuwa inferior!!!
 
 



msome kimbunga pia!!

Halafu ficha uso!!
 

Huu ni ukweli usiopingika kwamba Savimbi alikuwa na supporters. Ninachopenda kujifunza ni jinsi gani aliweza kuendesha UNITA na kupata support kubwa kama hiyo aliyopata! Nini kilipelekea kusalitiwa na hatimaye kuuwawa. Ninachojua kwa dhati ni kwamba Savimbi was a field man and man of practical. Hakuongozea vita yake Ulaya wala Marekani. Aliishi pale pale Angola tena msituni kama wengine wote waliokuwa wanapigana na serikali ya Angola...
Kwa mtazamo huo wa kupenda kujifunza tena kwa nia njema tu, William jana had a point kwenye ile thread yake kuhusu chama cha upinzani. Isije leo kikasema kinataka kujenga Tanzania tofauti na iliyopo halafu baadae wakawa wanafanya madudu makubwa kuliko serikali iliyopo madarakani. Tumeona hivyo Zambia na Malawi.
 
william uchekeshaji unamfaa na sio kitu kingine! Au anavuta bangi huyu jamaa!

- HA! ha! ha! ha!, sasa I promise napumzika kabisaa maana unazidi kunivunja mbavu! ha! ha! ha! wewe huvuti bangi sasa kweli unataka kujadili hoja na mvuta bangi, basi mimi nimechoka kabisa na hizi hoja! ha! ha! ha!, mara bangi mara sumu, mara JLO wa bongo, yaani this is incrediblle! ha! ha! ha!

William.
 
- Mimi sina nguo na wewe umekuja kujivua, sasa wenye akili wafanye nini mkuu? ha1 ha! ha!

ok sasa napumzika kidogo! ha! ha! ha!

William!

Mkubwa lkn unaendekeza utoto....
Sasa hapa unaniponda, then unakubali ushauri wangu...
Haya bwana, wengine hatujazoea kuumbuliwa na ukubwa wote huu..endelea uliezoea.
 
JF weee, nakupenda weee. Website yangu weee. Forum zake zavutia, kila koooona.

Excuse my interruption, I could not help the joyious feeling, where else, would you get a history debate that indulges lessons of "Politics of engagement, as modern blah blah blah" plus a keen study of character's, photos, moods and mood swings.... Someone once posted you can tell, a persons character from the posts made.
One thing for certain is a "terrorist" in one country can be termed as a "hero" in another, and not all who led their nations to independence became first presidents, this fact doesnt mean they were not freedom fighters.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…