Nakumbuka tuko Primary tunafunzwa jinsi gani Tanzania ilivyokuwa ina sacrifice lives in Angola among others leo hii huyu mtoto wa Malecela ungetegemea kuwa walau alikuwa anajua zaidi jinis taifa lilivyokuwa lina sacrifice vijana (kaka zetu,baba zetu, dada zetu, wajomba wetu, ndugu zetu) kwa ajili ya ukombozi wa ile nchi toka wa akina SAVIMBI ambao leo hii William anajua onlice kuwasifia
Hivi huyu kweli ana interest na hii nchi au bas tuu? One would have thought kuwa William alipata elimu nzuri na hata anaposema savimbi wa his hero does this mean kuwa William Malaecela ana sadistic tendencies za kua watu kama alivyokuwa Savimbi?