Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Oh yes is MEGASMART upstairs.For further note, Mastets yake(Lukuvi) alimaliza mwaka 2008 Open University.Ushahid wa Elimu yake unathibitishwa na performance yake nzuri kwa kila kazi anayopangiwa na wakubwa wake.The man is smart.
Hakuna mwana MAHESABU na mwana SAYANSI mwenye low thinking capacity.Wewe utakuwa wale wa Qt au form four Arts Pure,mara zote akilı zenu zınawaza NAHAU na miaka ya vifo vya machıfu.

Umemaliza yote sina la kuongeza mkuu
Mnakumbuka kipindi Magufuli alipopita top 3 kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea urais CCM? William Lukuvi alikua mpambe wake kipindi Magufuli akiasalimiana na wajumbe na hakutaka kumuacha kwani walikua bega kwa bega.
Katika watu walio karibu na Magufuli na ambao Magufuli anaowakubali Lukuvi ni mmoja wapo, na kuna kila dalili JP Magufuli akishinda atamteua yeye kuwa PM.
By Abel sere from Moshi.
atakuwa msemaji mkuu wa kambi ya upinzani na msaidizi wake ni zzk
Nchi hii wasomi wengi sasa.. Tofauti na kipindi cha nyuma ko hatuwezi ongozwa na kilaza kama uyo
kwani huyo Lukuvi huko kwao atashinda....
Huyo suma mwenyewe elimu yake unaijua lakini?