William Lukuvi amvua nguo Tundu Lissu

William Lukuvi amvua nguo Tundu Lissu

thatha

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
15,340
Reaction score
1,571
Waziri wa nchi sera na uratibu wa Bunge, WILLIAM LUKUVI sasa hivi wakati bunge linaendelea ameweka wazi uongo wa TINDU LISSU, uongo uliofanya jana wabunge wa upinzani wasusie kujadili mswaada wa sheria ya marekebisho ya KATIBA.

Jana LISU alisema Rais KIKWETE hakuzingatia sheria katika kuteua wajumbe wa kamati ya kushughulikia mchakato wa Katiba mpya kwa madai kuwa aliacha kuwateua wajumbe waliowasilishwa kwa barua na makundi yao, jambo ambalo LUKUVI ameliweka wazi kwa kuwataja wajumbe hao kwa majina kutoka makundi yote walivyowalishwa kwa rais na Rais kufanya uteuzi kama ambavyo sheria iliktaka kufanya.

Wakati huo huo Mwenyekiti wa Kamati ya mswada wa sheria ya Marekebisho ya Katiba, PINDI HAZARI CHANA naye akiweka bayana kuwa makundi yote yalihusika katika kutoa maoni yao juu ya katiba mpya tofauti na ambavyo LISSU alivyokuwa akidai kuwa wazanzibari hawakuhusishwa.

Kwa ushahidi huu wa LUKUVI NA PINDI CHANA ni wazi LISSU anaweza kukabiliana na adhabu kwa mujibu wa kanuni za bunge kutokana na kusema uongo na kuuaminisha umma wa watanzania kuwa alikuwa akisema ukweli
 
Kamvua nguo ipi?? Hii habari imekaa KIKUDA sana, kichwa cha habari na habari yenyewe tofauti.

Kwanza kwa akili ya Haraka Lukuvi darasa la saba anawezaje kuwa na hoja kumzidi Tundu Lissu aliyebobea kwenye sheria na anatambulika dunia nzima kwa umahiri. Mambo ya akili ndogo kuongoza akili kubwa yako CCM tu...
 
Umeandika kishabiki sana, kumbe kajibu hoja lakini wewe unapamba, wangapi wamedanganya na hawajafanywa kitu, nawe hapa JF lazima uchukuliwe hatua kali za kiuandishi.
 
Waziri wa nchi sera na uratibu wa Bunge, WILLIAM LUKUVI sasa hivi wakati bunge linaendelea ameweka wazi uongo wa TINDU LISSU, uongo uliofanya jana wabunge wa upinzani wasusie kujadili mswaada wa sheria ya marekebisho ya KATIBA. Jana LISU alisema Rais KIKWETE hakuzingatia sheria katika kuteua wajumbe wa kamati ya kushughulikia mchakato wa Katiba mpya kwa madai kuwa aliacha kuwateua wajumbe waliowasilishwa kwa barua na makundi yao, jambo ambalo LUKUVI ameliweka wazi kwa kuwataja wajumbe hao kwa majina kutoka makundi yote walivyowalishwa kwa rais na Rais kufanya uteuzi kama ambavyo sheria iliktaka kufanya. Wakati huo huo Mwenyekiti wa Kamati ya mswada wa sheria ya Marekebisho ya Katiba, PINDI HAZARI CHANA naye akiweka bayana kuwa makundi yote yalihusika katika kutoa maoni yao juu ya katiba mpya tofauti na ambavyo LISSU alivyokuwa akidai kuwa wazanzibari hawakuhusishwa.

Hakika Tundu Lisu anajiaibisha na anakiaibisha chama chake
 
Nilishasema humu bungeni kuwa TINDU LISSU hana uelewa wowote wa sheria zaidi anachokifanya ni kucheza na akili za wabunge wenzakekutokana na uelewa mdogo wa vifungu vya sheria ambavyo anaamini wenzake ambao hawana taaluma hiyo hawatamshtukia na hivyo huamua kukomalia huko.
Hata mimi natazama bunge sasa hivi , kwa kile walichokisema LUKUVI, PINDI HAZARI CHANA na sasa ufafanuzi anaoutoa mwanasheria mkuu wa serikali , FREDRICK WEREMA, ni dhahiri LISSU ameumbuka.
 
Thatha acha ushabiki tunatengeneza katiba ya vizazi vinavyokuja,hakuna alichofanya Lukuvi,hakika nawaambieni hakuna chama kitakachoshinda kwenye huu mchakato,ila wananchi tutashinda!!!!

Mkuu, hakika LUKUVI ameongea kwa vielelezo na hivi sasa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji WEREMA anamalizia kukata roho ya TUNDU LISU
 
Umeandika kishabiki sana, kumbe kajibu hoja lakini wewe unapamba, wangapi wamedanganya na hawajafanywa kitu, nawe hapa JF lazima uchukuliwe hatua kali za kiuandishi.

Dah, hapo ushabiki upo wapi? tunasema mara kwa mara kuwa CHADEMA wana tabia ya kukurupuka. haya ndo madhara ya chama kuongozwa na vihiyo
 
Kamvua nguo ipi?? Hii habari imekaa KIKUDA sana, kichwa cha habari na habari yenyewe tofauti.

Kwanza kwa akili ya Haraka Lukuvi darasa la saba anawezaje kuwa na hoja kumzidi Tundu Lissu aliyebobea kwenye sheria na anatambulika dunia nzima kwa umahiri. Mambo ya akili ndogo kuongoza akili kubwa yako CCM tu...

Issue siyo darasa la saba,issue ni hoja, tungekuwa tunaangalia elimu basi MBOWE asingekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Tatizo hufuatilii bunge.
 
Wapinzani unajua nao wakosea sana hasa kutafuta mileage kwa umaa kwa kuzani watakachoongea kitakuwa na mashiko.swala la kutoka bungeni huko ni kushindwa kwa kujenga hoja walijua wakibaki wataambiwa wathibitishe hafu wakaonekana mapoyoyo.mpka sasa sijaona chama cha upinzani kinachoweza kuwa na tija ya kuongoza nchi.nilikuwa nakipenda sana chadema kwa sela zake lakini kimeshaanza kuharibiwa na mchwa waribifu.kweli siasa si nyenzo ya maendeleo
 
Pinda mara chungu nzima pamoja na Lukuvi mwenyewe wameliongopea bunge , je wao walipewa adhabu gani?
 
Dah, hapo ushabiki upo wapi? tunasema mara kwa mara kuwa CHADEMA wana tabia ya kukurupuka. haya ndo madhara ya chama kuongozwa na vihiyo

Kuna watu wachache ndani ya CHADEMA wana upeo, akina LISSU ndo wanakiharibu hiki chama.
 
Kwani kigwangala yupo bungeni,
kama yupi amsaidie mgonjwa wake anatia aibu sana huyu lisu.
 
Mkuu, hakika LUKUVI ameongea kwa vielelezo na hivi sasa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji WEREMA anamalizia kukata roho ya TUNDU LISU
So sad. Yaani resources alizotumia Lisu na CHADEMA kumbe walikuwa wanaandika udaku? Hakika wanastahili kuadnibiwa na hakuna kipigo kilicho kitakatifu ni wananchi kukataa udanganyifu huu
 
Waziri wa nchi sera na uratibu wa Bunge, WILLIAM LUKUVI sasa hivi wakati bunge linaendelea ameweka wazi uongo wa TINDU LISSU, uongo uliofanya jana wabunge wa upinzani wasusie kujadili mswaada wa sheria ya marekebisho ya KATIBA. Jana LISU alisema Rais KIKWETE hakuzingatia sheria katika kuteua wajumbe wa kamati ya kushughulikia mchakato wa Katiba mpya kwa madai kuwa aliacha kuwateua wajumbe waliowasilishwa kwa barua na makundi yao, jambo ambalo LUKUVI ameliweka wazi kwa kuwataja wajumbe hao kwa majina kutoka makundi yote walivyowalishwa kwa rais na Rais kufanya uteuzi kama ambavyo sheria iliktaka kufanya. Wakati huo huo Mwenyekiti wa Kamati ya mswada wa sheria ya Marekebisho ya Katiba, PINDI HAZARI CHANA naye akiweka bayana kuwa makundi yote yalihusika katika kutoa maoni yao juu ya katiba mpya tofauti na ambavyo LISSU alivyokuwa akidai kuwa wazanzibari hawakuhusishwa.

Kwa ushahidi huu wa LUKUVI NA PINDI CHANA ni wazi LISSU anaweza kukabiliana na adhabu kwa mujibu wa kanuni za bunge kutokana na kusema uongo na kuuaminisha umma wa watanzania kuwa alikuwa akisema ukweli

Hapo ndio kumvua nguo? Hzi akili zakushikiwa matatizo matupu.
 
Kwani kigwangala yupo bungeni,
kama yupi amsaidie mgonjwa wake anatia aibu sana huyu lisu.

Mkuu, ndo sasa Kigwangala anamsaidia Lisu ili apate nafuu. Angalau kidogo anaanza kuhema vizuri
 
Kamvua nguo ipi?? Hii habari imekaa KIKUDA sana, kichwa cha habari na habari yenyewe tofauti.

Kwanza kwa akili ya Haraka Lukuvi darasa la saba anawezaje kuwa na hoja kumzidi Tundu Lissu aliyebobea kwenye sheria na anatambulika dunia nzima kwa umahiri. Mambo ya akili ndogo kuongoza akili kubwa yako CCM tu...

Pale huwa wanaunda sheria au wanasoma sheria ambazo zishaandikwa? Kusoma vifungu vya sheria hakuhitaji hata cheti...
 
Kwa ushabiki huu CCM watatufikisha pabaya, na wanacheza na akili zetu. Hii katiba sio mali ya ccm

hoja mkuu , siyo swala la ccm kutufikisha pabaya, walaumuni wawakilishi wenu ambao wanakurupuka na hoja ambazo hazina ushahidi.
 
Back
Top Bottom