Huu ni upotoshaji na ni aibu kwa mtu anayetaka ofisi kubwa kuwa mtu wa uongo na majungu kiasi hiki, bilicanas is just a club, na SIYO Casino.
Futa kauli yako.
Nimewafahamisha mods tayari matatizo Yako ya abuse so subiri rungs an sina Munda an nonsense Kama hizi
Es
"Wazee wa sauti za umeme" Siku nyingi mzee...! Pamoja na watu kukushambulia kwa hoja na viroja, na wengine dharau bila sababu za msingi, utabaki kuwa mtu wa kukumbukwa sana katika jf haswa enzi zile za kuchokonoa ufisadi uliokuwa underground IPTL n.k.
umeona Eenh ! Huyu William ni Muhuni wa aina ya pekee , hafai , hafai , hafai hata kurumangia kwa Mlenda . Tema tupa kule Mtera kambale wakale
Sina hakika kama kweli mwenyewe katangaza nia...
Wengi mnaongea kutoridhishwa kwenu na bwana Malecela lakini hamna hata mmoja aliyekuja na mifano hai ya kuonesha kwamba huyu bwana hawezi kutuwakilisha. Hitimisho langu ni kwamba hamna zaidi ya majungu, chuki na wivu ndio vimewajaa. Kama mnaona hafai basi na nyie kachukueni fomu.
kwenye hilo simpingi William , lakini Uongozi anapwaya sana.
"Wazee wa sauti za umeme" Siku nyingi mzee...! Pamoja na watu kukushambulia kwa hoja na viroja, na wengine dharau bila sababu za msingi, utabaki kuwa mtu wa kukumbukwa sana katika jf haswa enzi zile za kuchokonoa ufisadi uliokuwa underground IPTL n.k.
kwani aliwahi kuongoza wapi? Alikopwaya?
Es
Sina hakika kama kweli mwenyewe katangaza nia...
Wengi mnaongea kutoridhishwa kwenu na bwana Malecela lakini hamna hata mmoja aliyekuja na mifano hai ya kuonesha kwamba huyu bwana hawezi kutuwakilisha. Hitimisho langu ni kwamba hamna zaidi ya majungu, chuki na wivu ndio vimewajaa. Kama mnaona hafai basi na nyie kachukueni fomu.
Ndio mañana sasa no muhimu kuyaingiza mapambano Huko Huko ndani
Es
haya mkuu all the bestUnahangaika tu ungewataja kwanza wannao fit yr bill pale ngoma nzito umekwama
Es
Harlem
Today 14:02
Senior Member
Join Date : 12th March 2012
Posts : 65
Rep Power :314
Likes Received
5
Likes Given
6
Mutuz nimetulia tu hapa St. Joseph nakula upepo wa baharia.
Sr.
Kilaza huyo.... anaenda kututia aibu tuujinga ndio huu unalalama navunja kanuni wakati unabeba nafsi ya kwanza kwenye maelezo yako , anazungumziwa William , unakuja kwa nafsi ya Willy kujibu maswali.
Umesoma wapi shule , Huelewi, hueleweki, hutoshi wala hujai.
ujinga ndio huu unalalama navunja kanuni wakati unabeba nafsi ya kwanza kwenye maelezo yako , anazungumziwa William , unakuja kwa nafsi ya Willy kujibu maswali.
Umesoma wapi shule , Huelewi, hueleweki, hutoshi wala hujai.
haya mkuu all the best
ndio yaleyale, jamaa wanapeleka intellectuals sisi tunapelekea wazibua mitaro
My bill
- elimu nzuri ya uraia, sheria, uchumi na diplomasia
- upeo wa juu wa global trend katika huduma za jamii
- mifumo
- uwezo wa kujieleza na kupambanua sio jitu la ku-guess-guess watu humu JF, kuzusha habari za kisiasa na kubwabwaja kijinga
- a man/woman with a track record... sio number of posts za humu JF
Kilaza huyo.... anaenda kututia aibu tu
Kilaza huyo.... anaenda kututia aibu tu