Mkubwa wangu wa kazi naomba ukapumzike sasa........typo nyingi mno :hand:
Tatizo mnaniuliza Maswalai Kama ninagombea anything na EAC I am not lets get that straight!
Es
Hapa ningesikia raha zaidi kama @ New York, USA, mwenyewe angelog in hapa halafu tungepata na changamoto za Kiranga na busara za MM Mwanakijiji basi ingekuwa ni platform yenye afya kumuandaa Willy na midahalo yenye afya na sio ushabiki.So is Matola.........Hahaaaaaa
Bala a.k.a Wazee wa Sauti za Makoroboi
Mkubwa wangu wa kazi naomba ukapumzike sasa........typo nyingi mno :hand:
- Here we go Facebook as kipimo cha uongozi, ha! ha! ha! ha! ha! ha!
karibu sana bro na heshima mbele sana!
Es!
Pooofff!!!
Wille bora angegombea wao mtera maana hakuna mbunge, kuna kibajaji na engine imefeli ila kumpeleka EAF ni kuzidi kujionyesha u-emoro wa talents nchini
the guy is a wheel and spanner, not a thinker, not analytical, not even a good PR
my honest advice, no pun intended!!
Nipo mwananyamala Leo natumia kits complicated sana kutype so nisamehe
Es
. . . . FeM mimi ni rafiki William kule FB , japo nayajua mafungamano bandia bahna ya ID HII NA William,
mjamaa aliwahi kuandika , juu ya kuchunga social network life kuwa inaweza kukuathiri in future, Maisha yake FB YANAACHA TAFSIRI KUWA MAISHA YAKE YAKIHUNI BADO YANAMZUNGUKA JITU LINA MIAKA KARIBU Hamsini bado anabingilika na vitoto vidogo Mitaani , na kwenye Makasino.
William hana personality ya uongozi, kalelewa kihuni anaishi kihuni.
Hafai, hafai, Hafai hata kulungamia kwa kachumbali.
@Matola, polepole ngoma inaingia kingi, Es naye yuko bongo, mwananyamala.
Hapa watu wanapiga kimya mpaka user name ya Willy itakapo log in.
Kama ni casino basi na mmiliki mbowe ni muhuni au?
Es
@Matola, polepole ngoma inaingia kingi, Es naye yuko bongo, mwananyamala.
Hapa watu wanapiga kimya mpaka user name ya Willy itakapo log in.
Hapa ningesikia raha zaidi kama @ New York, USA, mwenyewe angelog in hapa halafu tungepata na changamoto za Kiranga na busara za MM Mwanakijiji basi ingekuwa ni platform yenye afya kumuandaa Willy na midahalo yenye afya na sio ushabiki.
Naamini utatumia fursa hii kumualika William hapa hata kwa skype, najuwa ni Mutus yako ya karibu Le Baharia.
Mara ya tatu sasa unataja kuwa Mh. Mbowe anamiliki Casino, ni casino gani hiyo....otherwise wewe ni mzushi tu kama wazushi wengine, toa data Casino ya Mh. Mbowe ni ipi na iko wapi?..otherwise acha uzushi.
william Malecela msanii wa bei ya Tandale . . . !
Umeombwa evidence za Uhuni wake toka Jana Huna aliyelelewa failure hujisema kwa maneno yake wazi Kama in casino basi na mmiliki na mmiliki mbowe ni muhuni au?
Kama in Facebook kinda Obama wallops mule in Wahuni pia au? Eti kuna waliozaliwa no personality ya uongozi? Nonsense!
Es
bilicanas and casinos
Es
wewe msanii kwa maana ni muongo muongo !Kuingia kwa majina ya bandia kuna qualifies usanii so tupo Wengi Kama usanii ni dhambi
Es
wewe ni muhuni , Ngojea utangaze Nia Nitangaze Uhuni wako , Ujinga na Umajununi wa fikra zako.
Hapa Nawajuza watu , wanaokujua wanashika Midomo hata wasikiapo tetesi kuwa unamatamanio ya ubunge wa Bunge la Afrika mashariki.
Unapwaya hata udiwani , unapwaya kila kitu hata Ubongo umepwaya.
Huu ni upotoshaji na ni aibu kwa mtu anayetaka ofisi kubwa kuwa mtu wa uongo na majungu kiasi hiki, bilicanas is just a club, na SIYO Casino.
Futa kauli yako.