Will you Marry me Snowhite??

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Jaman natangaza nia kwa mwanadada Snow white,
kuthibitisha hilo nataka nimvishe kabisa pete hii...
 
Attachments

  • Pete..jpg
    Pete..jpg
    10.6 KB · Views: 45
Si ndio nzuri inaonyesha dalili kuwa ndoa itadumu

Tena wewe platozoom Wa kuongelea ndoa kudumu? Ulimchumbia mwanangu charminglady kumbe tapeli ukaingia mitini, Mimi na mume wangu watu8 tulishangaa umeingia mitini ila everythinghappens for a reason kwa sasa mwanetu charminglady amepata mume mwema na soon tunapata mjukuu mungu akijalia
 
Last edited by a moderator:
measkron mamangu umefika wapi saiv, vp safari yako ipoje make tangu asubuhi uondoke kwa basi la AM toka hapa mza hatujawasiliana. ingawa najua tatizo ni mtandao. daddy watu8 mkeo huyo njiani yuaja, nimemfungashia kiroba cha michembe na nusu gunia la mchele. . . jiandae kumpokea.
Mtalingolo kila la heri mkuu. . . .
 
[MENTION=50359]Mtalingolo[/MENTION] kila la heri mkuu. . . .

Nashukuru Charming, niombee heri tu.
 
Last edited by a moderator:
Tena wewe platozoom Wa kuongelea ndoa kudumu? Ulimchumbia mwanangu charminglady kumbe tapeli ukaingia mitini, Mimi na mume wangu watu8 tulishangaa umeingia mitini ila everythinghappens for a reason kwa sasa mwanetu charminglady amepata mume mwema na soon tunapata mjukuu mungu akijalia

huyu kijana huwa namuangalia tu hapa mtaani....ila bahati kaichezea wenzie wameitumia, am grandfather to be!
 
Last edited by a moderator:
measkron mamangu umefika wapi saiv, vp safari yako ipoje make tangu asubuhi uondoke kwa basi la AM toka hapa mza hatujawasiliana. ingawa najua tatizo ni mtandao. daddy watu8 mkeo huyo njiani yuaja, nimemfungashia kiroba cha michembe na nusu gunia la mchele. . . jiandae kumpokea.
Mtalingolo kila la heri mkuu. . . .

yaani binti yangu nishafika hapa Ubungo kumsubiri huyo kipenzi cha moyo wangu ambaye ndio mama yako mpendwa...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom