Will you be my husband?

sijabahatika kuolewa kabla lakini Ni mama wa mtoto 1,, not a single mom though nikimaanisha mwanangu anaishi na kulelewa na baba yake 100%
Kama hiyo ndo tafsiri ya single mother.
Tatizo liko hapa..!!
Yaani nioe mwanamke ambaye ni 100% close with his/her baby daddy..!!!

Yaani vile mtoto anaumwa mama anapigiwa simu usiku..
Yaani vile mtoto kamiss mama ake then baba anampigia simu..!!

Yaani vile mama na mtoto wamemisiana, baba anamuomba mama akamuone mtoto kwa baba..!! Humo ndani sijui nini kitatokea.

Yaani vile ...........

Duh mi mwenzio SIWEZI KWA KWELI..!!!

Anyway, GUD LUCK..!!!

#YNWA
 
Kwa kuwa mzazi mwenzio Bado yupo hai. Nakujulisha kuwa wewe ni mke wa mtu na mumeo ni huyo anaelea mwanao. Kutengana kwenu kumetokana na hasira tu baada ya muda hasira zenu zitaisha mtakuja kupasha kiporo na upendo kurejea upya, kiunganishi ni huyo mtoto wenu.

Nimekupenda kwa kuwa mkweli, ila huyu Mume unaemtafuta humu atakuwa ni mchepuko tu mume wako halisi ni huyo wa awali.
 
sawa najua mpo wengi wenye dhana Kama yako Wala sio dhambi kuwaza hivo najua pia wapo wenye uelewa tofauti na wako ndo niliowalenga,,, na mbona unanilisha maneno wapi nimesema Nina mawasiliano ya 100% na baba mtoto,,, lakini sio mbaya nitakuelezea japo sikupaswa kujielezea,, mtoto yupo SONGEA anaishi na Bibi na babu yake,,, baba yake makazi yake mbeya lakini huduma zote anahudumia Mimi nipo tabora nikitaka mawasiliano na mtoto lazima niwasiliane na Bibi yake na yeye hivohivo,,,, anyway ndo maana nikasema atakaependezwa na Mimi sababu nafahamu Kuna wasiopendezwa.
Umemjibu vizuri sana , sasa umeeleweka njoo inbox
 
Back
Top Bottom