"Paskali" na wewe pia mwendelezo wa paukwa pakawa!...
Kukatokea mtu anayeitwa Paul Christian M, ambaye alisoma Chuo cha Nyegezi, baadae Mbegani na mwisho Muccobs, kwenye hayo majina ya Paul Christian M, ndipo kwenye M, likaongezewa jina laMakonda, hivyo Paul Christian Makonda is one and only.
Paskali
Mange KASEMA au sio??
Nasikia hata uyu USA BABY naye ni msuKUMAFourth estate ipi?
unamaanisha media?
unazijua sheria ya habari na cyber law?
Hukuona Max alipopelekwa mahakamani?
au una maanisha nini?
..
Yeye anatakiwa kukanusha kwa kuita watu wake aliokua naye, walimu,ndugu, wachungaji etc, watakaomshuhudia kwamba kakua kwao kama Paul Makonda.
Weka vyeti vyako na wewe hadharani. Ukitaka kuona cheti cha mtu mfuate akuonesheBashite anaona ugumu gani kuweka vyeti mezani ili akate mzizi wa fitina na huo wivu anaousema?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Kwa sababu muungwana, mkweli, kiongozi wa dhati akizushiwa uongo anaoweza kuumaliza mara moja tu, anaujibu ili kutoiacha jamii ikae na sintofahamu.Kwa nini apewe mzigo wa kujibu uzushi! Kwa nini hayo maswali wasijibu wahusika au walio na ukweli wawaoneshe hao watu hadharani, hata kwa picha tu!
Mkuu miafrika ndio tulivyo.Chukulia suala la Lowassa na yaliotokea baada ya miaka 8,ndipo utapata jibu watanzania wana akili za aina ganiIn the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Hahahaha ngoja tusubirie hilo picha...
Ila sidhani kama atakuwa mjinga kihivyo... maana anajua dhahiri kabisa kuwa kama ni kweli alimuuzia Daudi cheti chake, na yeye pia hatasalimika...
Kama kweli yupo huenda anaogopa kifungo, au Daudi kashamwambia asije akathubutu kujitokeza.
Vinginevyo... labda hayuko hai...
Yupo mikono salama.In the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Kuna wakati zilitembea habari kuwa ni mtangazazi wa televisheni moja huko Tabora, ikimilikiwa na Aden Rage.Hivi kama kweli yupo, yeye mwenyewe anatumia jina gani?
Hivi movie za kibongo bana...maswali meeeeengi lakini majibu kidunchu!
Hizi ndo bongo movie haswa!
Nyani ngabu anatumiwa.Hakuna mtu anaitwa Paul Christian makonda ndio mana hata ukienda NECTA hupati matokeo yake kamwe....
Kuna matokeo ya daudi bashite ambayo alipata zero na ndio jina halisi la mkuu wetu wa mkoa...
Daudi alichukua cheti cha Paul Christian muyenje kujiendeleza na elimu ya juu...baadae ndio akaongeza hilo makonda...
Ndio mana hadi leo daudi a.k.a makonda hawezi kukupa cheti cha form 4 chenye jina la Paul Christian makonda..msione kakaa kimya hana mwenzenu ahurumiwe...
Paul Christian muyenje hawezi kujitokeza kwa sababu yeye sio Paul Christian makonda ndio mana kumaliza mzizi wa fitna kaombwa vyeti hili hii ishu ikwishe.