Will Swahili become the continental language led by Tanzania ambitions?

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,159
2,000
Habari JF,

Kiswahili ni lugha inayoongelewa Tanzania, na baadhi ya sehemu

Kwa kifupi Tanzania ndyo imeshikiria dira ya lugha hii ya kiswahili na ndyo future na destine ya lugha hii

Bado tanzania inajipambanua kama kiongozi na hatma ya Kiswahili.

Nchi nyingine ni Kenya. Ingawa kenya ni lugha ya pili ya kwanza ikiwa ni English Colonial language.

Tanzania kama nchi mama imekua ikipush na kushawishi kuifanya kiswahili Continental language na nchi zidrop colonial language in preference ya kiswahili ambayo ni mixture ya bantus languages with some sort of asiatic words but totally bantus.

Swahili is an official or national language in five of Africa's 54 countries. Democratic Republic of Congo, Kenya, Rwanda, Tanzania Uganda, Here is the move of Tanzania to influence and push Kiswahili.

-On August 2019 on SADC

PRESIDENT OF SOUTH AFRICA
Cyril ramaphosa announced South africa will start teaching Swahili on School by 2020

On 2021 January
During Sahle-work zewde president of ETHIOPIA promise to introduce swahili on Ethiopia Education as a subject since Ethiopia has many languages

Bado kuna nchi kama Africa ya kati, Northern Msumbiji, Malawi, zinaongea.

IMG_4141.jpg

How much is remain to make a continental language ?? How much joint efforts are needed??Tell us
 
Top TZ

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
221
250
Habari JF,

Kiswahili ni lugha inayoongelewa Tanzania, na baadhi ya sehemu

Kwa kifupi Tanzania ndyo imeshikiria dira ya lugha hii ya kiswahili na ndyo future na destine ya lugha hii

Bado tanzania inajipambanua kama kiongozi na hatma ya Kiswahili.

Nchi nyingine ni Kenya. Ingawa kenya ni lugha ya pili ya kwanza ikiwa ni English Colonial language.

Tanzania kama nchi mama imekua ikipush na kushawishi kuifanya kiswahili Continental language na nchi zidrop colonial language in preference ya kiswahili ambayo ni mixture ya bantus languages with some sort of asiatic words but totally bantus.

Swahili is an official or national language in five of Africa's 54 countries. Democratic Republic of Congo, Kenya, Rwanda, Tanzania Uganda, Here is the move of Tanzania to influence and push Kiswahili.

-On August 2019 on SADC

PRESIDENT OF SOUTH AFRICA
Cyril ramaphosa announced South africa will start teaching Swahili on School by 2020

On 2021 January
During Sahle-work zewde president of ETHIOPIA promise to introduce swahili on Ethiopia Education as a subject since Ethiopia has many languages

Bado kuna nchi kama Africa ya kati, Northern Msumbiji, Malawi, zinaongea.How much is remain to make a continental language ?? How much joint efforts are needed??Tell us

Hamnaga hiyo arabic inaongelewa sana ikifuatiwa na english then france ....lugha nyingine kubwa n amhara ya ethiopia
 
believer

JF-Expert Member
Dec 22, 2012
620
250
Itakuwa ngumu sana, kama huu uzi tu wenyewe umeuliza kwa kiingereza, sasa kiswahili chenyewe ni nani kijitutumue.
 
chazachaza

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
1,068
2,000
Ukweli mchungu, Wakenya wanakitangaza Kiswahili kuliko Wamatumbi
Wale jamaa siunawajua,wazee wa ku robe fursa , waache wakitangaze mkuu,ss donar kantrii bana.tuko biz na kulijenga taifa,kuingia uchumi wa Kati sio mchezo,2025yr tutakuwa uchumi wa juu sio Kati Tena.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
58,444
2,000
Wale jamaa siunawajua,wazee wa ku robe fursa , waache wakitangaze mkuu,ss donar kantrii bana.tuko biz na kulijenga taifa,kuingia uchumi wa Kati sio mchezo,2025yr tutakuwa uchumi wa juu sio Kati Tena.
Kwa exports gani tulizonazo? Poleni mataga hampendagi positive challenges.
 
chazachaza

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
1,068
2,000
Uchimi wa Kati upi? No exports, no sugar in country, no cooking oil, scarcity is everywhere, huo uchumi wadangajyeni MAZEZETA wa CCM
scarcity ya baadhi ya bidhaa,hasa bidhaa ya vyakula ,sio tz tu, almost every where,na hii Ni impact Corona.na Bora hapa tz huko kwingne ambako walijifungia na bado wanajifungia ,the issue is so warse.
 
jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,159
2,000
Uchimi wa Kati upi? No exports, no sugar in country, no cooking oil, scarcity is everywhere, huo uchumi wadangajyeni MAZEZETA wa CCM

Ivi we unaongelea nchi gan kwani!!? Huko ambako hamna sukari,hamna mafuta ya kula

We utakua una mihemuko !!tena ya siasa kila kitu kipo !! Mafuta ya alizet yasipande bei kidogo ushasema hayapo!! ....kuna shida mahala kwenye uwezo wako wa kupambanua mambo
 
Top TZ

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
221
250
Uchimi wa Kati upi? No exports, no sugar in country, no cooking oil, scarcity is everywhere, huo uchumi wadangajyeni MAZEZETA wa CCM

Kwan umeambiwa nchi ikiwa uchumi wa kati ndo inakua haina changamoto!!

Kenya ili ingia uchumi wa kat siku nyingi lakin kila siku wanakumbwa na janga la njaa
 
Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
13,009
2,000
Oooh Allah.., Lugha ya kitabu chako inakubalika na kusambaa kwa kasi...
Shukrani kwa fadhila za Founders!!
Sawahiliya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom