Wilfred Rwakatare augua ghafla

kule cuf alikuwa anachakachua sana pesa za ruzuku mpaka akajenga lile gorofa lake pale kimara sasa huko uchagani(cdm) pesa zote zinatoka kwa saini ya mbowe na komu ( anthony),kwa nini asidhoof na hali hanusi tena?

We rafiki yangu hata akili yako sijui ipo wapi, hivi ugonjwa una uhusiano gani na utajiri? Jaribu kuelimisha ubongo wako Mkuu.
 
kule cuf alikuwa anachakachua sana pesa za ruzuku mpaka akajenga lile gorofa lake pale kimara sasa huko uchagani(cdm) pesa zote zinatoka kwa saini ya mbowe na komu ( anthony),kwa nini asidhoof na hali hanusi tena?

acha kutumia masaburi wewe,unaleta ukabila wa nini hapa?halafu ulitaka hizo pesa usaini wewe au babako ili zitoke?
 
Pole ndugu. Mungu akujaalie upone haraka ili urudi Igunga. Hatutaki CDM wapate kisingizio cha kushindwa vibaya tarehe 2 Okt.
 
314974_250082608369494_100001032706598_784363_1375226684_n.jpg

TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CDM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare amelazwa hosipitali ya rufaa ya Bugado wadi namba J-2 chumba namba J217, baada ya kuzidiwa akiwa katika uchaguzi mdogo wa Igunga. Hata hivyo hali yake imeelezwa kuwa nzuri na bado anaendelea na matibabu yake.

Inasemekana kuwa ugonjwa unaomsumbua ni Nemonia.

Get well soon Lwakatare. Tunakuhitaji bado uwanja wa vita.
 
sababu za kutoka cuf na kwenda chadema still not clear..................if I am to speculate he saw cuf was dominated by Muslims and there was no room for him to shine there following Professor Lipumba reshuffled him into political wilderness................pneumonia?........................tutalaumu mengi magonjwa siku hizi..........................are we not referring to the symptoms rather than the real disease?????????
 
314974_250082608369494_100001032706598_784363_1375226684_n.jpg

TAARIFA ambazo zimethibitishwa na katibu wa CDM mkoa wa Mwanza Willson Mshumbusi ni kuwa Mkurugenzi wa taifa wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Wilfred Rwakatare amelazwa hosipitali ya rufaa ya Bugado wadi namba J-2 chumba namba J217, baada ya kuzidiwa akiwa katika uchaguzi mdogo wa Igunga. Hata hivyo hali yake imeelezwa kuwa nzuri na bado anaendelea na matibabu yake.

Inasemekana kuwa ugonjwa unaomsumbua ni Nemonia.

naona kadi ya getwell soon kitandani ,mh chadema hawako nyuma nao...
 
Kaka ye ni Daktari mkubwa, bila shaka ameishapeleka matibabu ya kutosha ,atapona haraka.
Poor thinking. kwani akiwa daktari mkubwa ndo anafanya nini? walikufa walioenda kutibiwa hospital kubwa ya mtakatifu Thomas itakuwa huyo? Think twice before posting here.
Ugua pole Rwakatare.
 
pole sana kamanda, tutazidi kukuombea kwa Mungu ili upone kwa haraka ili urudi kwenye uwanja wa mapambano huko Igunga hadi
kieleweke power to the people. amen.

Willy pole sana ndugu yangu. Maadam Mungu anajua kazi unayofanya atakuponya mara uwe na afya njema soon urudi kupigania haki za watanzania Igunga
 
Back
Top Bottom