Wilfred Lwakatare arejea CUF baada ya kufutwa uanachama CHADEMA. Kutumika kuiangamiza CHADEMA

Hivi huko Chaldean amebakia nani?
Mnauliza kabaki nani huko chadema ajabu mnakodisha hadi majeshi mamluki ili kupambana nayo. Kama mnajiamini kwanini msiweke uwanja sawa wa siasa tuone kama kweli chadema imebakiwa na watu au wameisha.
 
Ameingia chama kilichowahi kuitwa cha kigaidi cha kiislamu?
Itabidi asilimu tuu.
 
Sasa ni Dhahiri kuwa Chadema Kinaenda kubakia Jina tu​

Awali Kwa Chama hicho kusambaratika kabisa ilikuwa ni ngumu mno hata ingehamwa zaidi na zaidi,​

Kwa mtego huu uliopo hata akitokea Nani kuwa M/kiti sababu M/kiti aliyepo hakuuona huo mlipuko unaokwenda Kutokea sasa, hivyo Chama hiki sasa hakina namna nyingine tena zaidi ya ushauri huu kuufanyia kazi endapo kuna mtu huko anataka kuendelea kuwa mbunge temu hii​

Ni kuhama Tu, hakuna mbadala tena, kwa kuwa Upinzani uliopo sasa utakuwa si wa Chadema na CCM tena, Itakuwa ni Kati ya Chadema na vyama pinzani vyenzake, na Upinzani wa Aina hiyo ndio mbaya kuliko ule wa CCM na Upinzani​

Inakuwa ni ngumu Kwa kiasi gani Kwa upande wa Chadema!!

Kwanza Vyama hivi, vimepokea wabunge Kutokea Chadema, ambao wengi Wao wamefurushwa Kwa kuonewa, ukiondoa vitabu vya Mwenyezi Mungu pekee, ndiko ambako kuna Ile usilipize Baya Kwa Baya, lkn huku kwenye siasa ni tofauti Kabisa hasa Ikitokea watu wanasaka madaraka, kuna wabunge waliotimuliwa wanahasira na Chadema ambao hawatakubali kirahisi Chadema aendelee kuwa Chama kikuu cha Upinzani, na ifahamike pia, nafasi ya Chama kikuu si Mali ya Chadema pekee

Kunahatari ya Vyama hivi kuungana na kuanza kuikomoa Chadema, na Kwa Chadema Kwa mwaka huu, ili ipate mbunge lazima ipiganie tume huru Kwanza, kiasi ambacho hivi Vyama vingine vinaweza kuamua kuikomoa Chadema Kwa kususia agenda hiyo, na Chadema akibaki peke yake na hata huko nje wanakopeleka mashitaka hayo yatapuuzwa Kwa kuwa Vyama vingine vitaonyesha kuunga mkono tume iliyopo vikidai havina Shaka na tume

Swala la Kampeni pia linaweza ni agenda za kuwaonyesha watu kuwa Chadema ni Chama kisichofaa huku Kukiwepo msukumo wa wale wabunge waliotoneshwa na Chadema Kwa kuwapiga nyundo za Maana kuonyesha ni Kwa namna gani Chadema hakifai kuungwa mkono, na hatari iliyopo inaweza Kutokea Vyama hivyo vikaamua kuungana na Campeni za CCM kuhakikisha Chadema haipati hata mbunge mmoja

Yetu macho
 
Safari hii kila mbunge anajitafutia shimo lake pakujificha No body wants to be a "consultant"
 
Tatizo la wanasiasa ni mufirisi wa fikra, yaani badala ya kuisoma na kuelewa sera za chama ulichohamia ili uweke INPUT yako kisonge mbele, wewe unafika na SERA za kukisema chama ulichokihama... huu ni udhaifu mkubwa mno na unamuondolea mwanasiasa credibility.

Eti nahamia CUF kuibomoa CDM, eti huyu ndiye mwanasiasa mkongwe - too sad.
 
Tatizo la wanasiasa ni mufirisi wa fikra, yaani badala ya kuisoma na kuelewa sera za chama ulichohamia ili uweke INPUT yako kisonge mbele, wewe unafika na SERA za kukisema chama ulichokihama... huu ni udhaifu mkubwa mno na unamuondolea mwanasiasa credibility.

Eti nahamia CUF kuibomoa CDM, eti huyu ndiye mwanasiasa mkongwe - too sad.
Muflis,

Huyu Lwekatare Ameshafilisika kisiasa. Tazma wanasiasa kama Maalim Seif, kaihama CUF si kwa Ubaya wake, bali kwa figisu za Lipumba na Wasaidizi wake.

Leo hii ukimuuliza Maalim kuhusu CUF atakwambia ,bado ni chama kizuri tuu kama si Lipumba kutumiwa na CCM.
 
Rwakatare aliyefukuzwa CHADEMA na kuhamia CUF amesema anakwenda CUF kupambana na CHADEMA huko Bukoba kwenye uchaguzi. NCCR-MAGEUZI nao wanapambana na CHADEMA. CCM nao adui yao kisiasa ni CHADEMA. Ukiwa mgeni umeshuka leo kutoka Ukraine unaweza kudhani CHADEMA ndio CHAMA TAWALA!

Haya ni maneno ya mh Halima Mdee!

Inahitaji kutumia akili kubwa sana kujibu swali hili.

Screenshot_20200602-153720.jpeg
 
Back
Top Bottom