Wilbrod Slaa yupo Ifakara leo

Wilbrod Slaa yupo Ifakara leo

Status
Not open for further replies.
hii ni mtaa kwa mtaa mlango kwa mlango na mtu kwa mtu kitaeleweka tu mwaka huu adi mwaka 2015.
 
Hiki kizee cha kuzurura...

Siasa tufanye za ustarabu, nikikutukania baba yako utajisikiaje..... Fanyeni siasa za kikubwa, wekeaneni heshima, wee ni mtu mzima nakuheshimu sana, umeniuzi sana kutukana baba yangu.
 
Mkuu tupiamo mipicha maana mwenzio nmetoka kuzitupia hapa Uwanja wa K/ndege
 
Mbona watu wachache?CDM mnajua kujipa moyoo eee,huyo Babu Slaa n kama Lipumba tu ikulu wataisilkia kwenye bomba na wataiona wakiwa wanaenda kigambon.
 
Mods mmeuchanganya huu uzi (MAKOSA)... ifakara na kiwanja cha ndege ni maeneo mawili tofauti.
 
Wanashangaa wapi?
Huyo aliyevaa red ni mlinzi wa watupa mabomu kama kawaida ya maccm
watu wanamsikiliza rais wetu kwa umakini mkubwa
Wananchi kwa sasa wameshastuka kwamba maccm kwa sasa wananuza madawa ya kulevya
wanatumie hela za walipa kodi kuwazuru na hata kuwaua
uongozi wa maccm umekwisha kabisa uelekeo umekwisha na wazalendo wanaoipenda nchi wameamua liwalo na liwe
wameanza kusaliti ccm sasa hivi ni weupe hata mkutano unaofanyika ikulu baada ya 2 min kila kitu wazi weupeeee



Watu wanashangaa Helkopta badala ya kusikiliza mkutano!!!!
 
Hawa jamaa wamedhamilia kweli kweli na suala la Katiba mpya, ukifuatilia utadhani ni Katiba ya CHADEMA kumbe ni katiba ya Watanzania wote!!
 
Mbona watu wachache?CDM mnajua kujipa moyoo eee,huyo Babu Slaa n kama Lipumba tu ikulu wataisilkia kwenye bomba na wataiona wakiwa wanaenda kigambon.

Kiboko acha wivu. CHADEMA wakifanya mema tuwapongeze na wakifanya mabaya tuwakosoe na siyo kuropokaroka tu hapa JF.
 
Last edited by a moderator:
Lazima wakae tupo kufanya kazi. Najua ccm wana hasira hasara ce tunaruka tz nzima. CDM JUU JU ZAIDI.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom