Wilbrod Slaa yupo Ifakara leo

Wilbrod Slaa yupo Ifakara leo

Status
Not open for further replies.
cleophace mfumya tupe update za hapo morogoro kuhusu makamanda.
 
Tatizo la Obama wa Bongo ni njaa. Hawezi kulipwa kama hajatoa neno lo lote linalomhusu Slaa. Kwa sasa walishasema yote. Wakarudia na sasa yamechuja. Kwa hiyo alichoandika ndicho kakiona kipya. Jamani njaa pamoja na kutumika ni fedheha kubwa. Tafuta kazi bwana Obama wa Bongo. Short of that unajitafutia aibu.


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
kinauche una genye nn? mm nimemtaja babu slaa wapi kwenye hii thread?hapa nilichangia habari ya kuweka picha.
 
Last edited by a moderator:
Hii nchi itakombolewa haraka sana kwa hawa mafisadi, maccm, wauza madawa ya kulevya,
kutoa uhalali wa wapigwe tuu tumechoka, wauaji kufyetulia wananchi risais bila sababu.











 
Katika mwendelezo wa kuchukua maoni ya katiba mpya kutoka kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA, katibu mkuu wa chama Dr Wilbroad Slaa atakuwa hapa mjini ifakara leo kuanzia muda wa saa kumi. Mkutano utafanyika katika viwanja vya kiungani. Dr anatarajiwa kuwasili kwa choper muda wowote kuanzia sasa. Tayari watu wameshaanza kujisogeza. Ntawapatia kile kitachojiri.
kaenda kutemebelea mashamba yake ay "mpunga" ?? coz huyu jamaa ni bepari wa kutupwa .
 
Watu wanashangaa Helkopta badala ya kusikiliza mkutano!!!!
 
Watu wanashangaa Helkopta badala ya kusikiliza mkutano!!!!
 
huyu jamaa anajua kupiga picha balaa yan umepga ground photo.saf sana mkuu
 
Si bora Dk Slaa anazungukia ndani ya nchi yake kuwaelimisha wa Tz kuliko mzee wa bagamy?Tuwe wazalendo kwa wale wanaosubutu hata kujitolea kutoa elimu ya uraia?Nchi imefika pabaya jmn amkeni watz.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom