Wilbroad Mutafungwa Mkuu Mpya Wa Kikosi Cha Usalama Barabarani Tanzania

Madereva wataonewa sana! Hanaga uwezo wakupambanua uonevu na haki, cjui kigezo gani IGP kaamua kumpa nafasi hyo ngumu, huwa anaponzwa na upole.
 
Habari Zilizotufikia Hivi Punde, IGP Simon SIRRO Amefanya mabadiliko ya Mkuu wa Trafik Na Kumteua Wilbroad Mutafungwa kuwa Mkuu Mpya wa kikosi cha usalama barabarani. Fortunatus Muslim anaenda kuwa RPC Mkoa wa Morogoro.

Afande Muslim alikuwa mchapa kazi sana lakini mpaka mafuta kwa mgongo wa chupa, tukumbuke kuwa mpaka Muslimu anahamishwa kitengo ameshindwa kutafsiri sheria ya kivuko cha waenda kwa miguu kwenye kivuko - Zebra kutoka kiingereza kuja kwenye kiswahili ili ieleweke kama ni lazima gari kusimama kabisa kwenye zebra hata kama hakuna mtu anayevuka?
 
Back
Top Bottom