Wilaya zenye baridi sana Tanzania

Ludewa huku njombe
 
Wilaya ya Hai. Nenda West Kilimanjaro, Kibongoto, Machahme Hospital, Machame Secondary na kule alikojenga Mengi jirani na lango la kuingia hifadhini, Moshi Vijijini:Marangu Mtoni, Kilema, Kirua, Kishumundu, KCMC mbona utarudi mjini ulikotoka. Mwezi 5 hadi wa 8 Baridi maeneo haya ni balaa. wats wanavaa Soksi, raba na makoti. Kuoga majo moto au Sponje Down
 
Nenda Lushoto eneo linaloitwa shume gologolo au manolo kipindi cha mwezi wa 6/7, baridi ya hapo shume ni muda wote ila mwezi 6/7 utafurahi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…