luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,295
- 8,258
- Thread starter
- #241
Amesha declare kuwa kwao Ni kagera,Ni mhaya eti mhaya ambaye kwao Hadi Leo wanalala nyumba za nyasi ndio Ana ubavu wa kuja hapa et kuandika utumbo,akapambane autoe mkoa wake kwenye umaskini maana mkoa wa kagera Ni wa 9 kwa umaskiniWe nawe unaona kila mtu MATAGA ama?
Eti huijui Rombo. Kwahiyo unayeijua yote umeambulia nini? Hebu tuambie kwanza kijijini kwenu wapi kisha tuendelee na mada. Kifua kimekujaa kweli kwa hasira.