Artificial intelligence
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 1,262
- 2,191
Mangi siku hizi wamechukua sifa za wahaya. Wakiona komenti kama hii lazima washuke na wewe, wanakwambia kwao ni umeme tu hadi kwenye mazizi ya ng'ombe.Aliyesema hayo alifanya utafiti wa kutosha? Bila aibu anaesema asilimia 100, nenda Kijiji cha Mahorosha ukanda wa chini, nguzo zimesimama bila nyaya, sijui wahusika wameenda wapi.