Wilaya ya Rombo yaongoza Kitaifa kwa kufunga umeme kwa 100%

luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
7,949
2,000
Habari za mchana wakuu,

Wilaya ya ROMBO mkoani KILIMANJARO ni wilaya pekee nchini ambayo kata zote, vijiji vyote na vitongoji vyote vina umeme

Haya ni maendeleo makubwa sana.

Hongereni ROMBO.

Nawasilisha
Screenshot_20210130-124131.jpeg
 

Kokolo

JF-Expert Member
Mar 20, 2008
1,012
2,000
Enzi hizo, Bazil Mramba, Cleopa Msuya walikuwa wabinafsi sana. Wao umeme waliweka toka zamani mafungu mengi ya serikali walielekeza kwao wakiwa mawaziri wa fedha, waziri mkuu, etc. Leo tunaona maendeleo yakienda sehemu nyingine lakini macho naasikio yanapiga kelele kama antenna za tigo.
 

miss pablo

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
2,495
2,000
Sio kweli wewe acha kusifia kwenu ati yaongoza kitaifa umeshawahi kwenda sehemu zingine nchi hii? Labda kama inaongoza kitaifa kwa kutengeneza na kunywa pombe ya mbege na kuwaacha wanawake nyumbani wakifanya kazi peke yao unajisifia wakati tunawajueni nyie.
ACHA MAKASIRIKO MKUU. Sehemu nyingine zipi sasa? Kule umeme kama maji mpaka mabanda ya ng'ombe toka miaka hiyo. Kwa suala la umeme kule mbona hata siyo ishu mkuu? Wewe umefika huko?
 

luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
7,949
2,000
Sio kweli wewe acha kusifia kwenu ati yaongoza kitaifa umeshawahi kwenda sehemu zingine nchi hii? Labda kama inaongoza kitaifa kwa kutengeneza na kunywa pombe ya mbege na kuwaacha wanawake nyumbani wakifanya kazi peke yao unajisifia wakati tunawajueni nyie.
Pôle Sana mcheza baikoko wa mkuranga, Hakuna popote nchi hii utakuta wilaya ina umeme vitongoji vyote kama sio ROMBO ndio maana ya 100% au huoni maandiko hapo?

Pia mkoa wa KILIMANJARO kwa ujumla umeme vijijin ni 95%

Umeme vijijin huko Kilimandjaro ulianza tangu miaka ya 60 mwishoni

Pia kwa mujibu wa ripoti ya serikali,mkoa wa KILIMANJARO Ni mkoa wa 2 watu wake kuishi maisha bora na makaz Bora kwa 90%
Pia kielimu,Ni mkoa wa kwanza tz kuwa na sekondar nyingi

Pia ni mkoa pekee tz ambao vijijin kuna miundombinu toshelezi kwa karibia 80% mwananchi wa kule vijijin KILIMANJARO anapata huduma zote karibu halazimiki kwenda mjin kila kitu ni vijijin kwanzia bank, supermarket nk

Niendelee?
tapatalk_1609090019444.jpeg
 

luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
7,949
2,000
Enzi hizo, bazil mramba, cleopa msuya walikuwa wabinafsi sana wao umeme waliweka toka zamani mafungu mengi ya serikali walielekeza kwao wakiwa mawaziri wa fedha, waziri mkuu, etc. Leo tunaona maendeleo yakienda sehemu nyingine lakini macho naasikio yanapiga kelele kama antenna za tigo.
Tupige kelele tuna shida gani? Mtapiga kelele nyie maskini,sisi mkoa wetu ni wa pili kwa watu wake kuishi maisha bora,makaz bora,shule nyingi za sekondar,nk
Mtapiga kelele nyie wa ILOLANGURU
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom